kuumiza bila kujua hii imefanywa na wengi na inajulikana japo kuna wengine huwa wanafanya makusudi,,,Mie naweza kua nimewahi kuumiza watu kwa kujua au hata kwa kutojua
Na pia kuumizwa na hao unaosema marafiki lakin life lazima lisonge
Ila ogopa sana mtu anaejifanya perfect ni hatari
Una akili sanaNna marafiki wa kwenye pombe na nyama
Rafiki wa kweli ni pesa zakoUna akili sana
Kuumiza mtu makusudi hiyo level sijafika na siwez moyo wangu ni soft sana ndio maana hata mala nyingi nikisema sitaki mahusiano watu wanahisi nataka attention kumbe ni serious siwezi kua na mahusiano mdomoni huku moyo hautaki mwishi uumize mtu siwezi🙌kuumiza bila kujua hii imefanywa na wengi na inajulikana japo kuna wengine huwa wanafanya makusudi,,,
mi nataka twende na flow ya mleta mada
nje ya mada wew ni mpenzi wa mziki?
ouky kuna uzi wa kuandika mstari wa nyimbo then mwenzio anamalizia,, fanya kuutafute uwe unajiliwaza hukonapenda sanaaaaaaa
Ni tag hukoouky kuna uzi wa kuandika mstari wa nyimbo then mwenzio anamalizia,, fanya kuutafute uwe unajiliwaza huko
sawaaaNi tag huko
Sio kwamba huyo mwanamke asamehewe kajifunza ?Tatizo lilianzia pale ambapo wewe ni Introvert na yeye ni Extrovert.
Ila kwa kupitia huyo rafiki yako,Mungu aliamua kukuonyesha kua Mwanamke uliyekua nae hakufai,
Angekua anakufaa asingesikiliza maneno ya wengine au angekuuliza ili kuujua ukweli wa anayo ambiwa,
Huyo Mwanmke kutaka kurudiana na wewe ni kwa vile amezunguka na kukosa mtu sahihi,so anataka kurudi kwako kimaslahi tu,huyo hakufai.
Msaliti hua hasamehewi hata siku moja.Sio kwamba huyo mwanamke asamehewe kajifunza ?
Kosa sio kosa kosa ni kurudia kosaMsaliti hua hasamehewi hata siku moja.
Kosa la usaliti hua halisameheki,Kosa sio kosa kosa ni kurudia kosa
Wewe hujawahi kukosea?
Wanaume acheni ubinafsi bhna
Hii kitu huwa inajenga na uadui kabisa. Back in the day nilijikuta kwenye uadui mkubwa na one my bestfriend (marehemu sasa) sababu ya kuzungukana kwneye biasharaKunizunguka kwenye biashara, biashara za ku fanya kwa pamoja zilivunja urafiki kabisa , uzuri mmoja jamaa nae ni mdau wa humu humu🤔