Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Duhhh....Hahah hamna mkuu, mshana ni sample tu, wapo wengi wa aina yake, kuna ushimen , nk nk ila kuna wengine mzee ni wakata kamba mtu lbda anaomba ushauri, wanaanza kumponda tena, inakeraga kweli. Ila labda ni kwasababu huku tunaficha ID zetu ndiYo maana watu wanajibu ovyo hawajali kitu.
Mkuu, kidogo nimeshtuka hadi pombe yote imekata.
Ebu niambie wapi hasa nilipo kukwaza ili nikuombe radhi kwa dhati kabisa...