Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naogoba burn, nikiwachimbaji sana saiv nitaunguza kibandaChukua mikoba mkuu uendeleze uchambuzi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naogoba burn, nikiwachimbaji sana saiv nitaunguza kibanda
Hisa JF hapana labda useme ni muhimu na maarufuMshana Jr, ana hisa JF? Ni mtu maarufu sana humu
Dawa kuwa mpole tu kama unanyolewa kuruhusu mambo mengine yaende mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho cheo alichopewa analipwa?Hisa JF hapana labda useme ni muhimu na maarufu
maana asipoonekana kutwa licha ya wiki naona sio JF tena
umuhimu wake hata mm nauthamini na alipopewa uPLATINUM Member sikushangaa
ni cheo cha juu kabisa sijui km kuna cheo cha juu zaidi Diamond
mwingine mwenye Cheo hicho ni Nyani Ngabu nk hao ni Muhimu hata Mada zao
[emoji23][emoji23][emoji23]na alikuwa hajui kama chanzo ni yeyeChief -mkwawa.
Ni mtu aliyefanya mpka nikajiunga jf .Kuna kipindi nilikuwa nahitaji laptop inayoweza kucheza game nyingi ile pita pita mitandaoni nikamcheki jamaa na mada yake moja hiv(nimeisahau kidogo)ile nataka kumuulizia kitu, jf wakaniomba ni jiunge ili nitume msg na ndo ikawa mwanzo.
Salut chief mkwawa[emoji817]%
naona hakuna lolote ni Heshima (lkn siri ya Mtungi muulize Mshana Jr mwenyewe mm si msemaji)Hicho cheo alichopewa analipwa?
Ukipewa beji, unakuwa na mamlaka yoyote humu JF?naona hakuna lolote ni Heshima (lkn siri ya Mtungi muulize Mshana Jr mwenyewe mm si msemaji)
zamani JF iliomba Wanasheria, wanasiasa, Viongozi wa juu walikuwepo
Naona mtindo huo hakuendelea tena
ma wengi tuliokuwa tunachungulia ilibidi sasa kujiunga rasmi kwa ID hizi
Hahaha... ''Umewahi kula tunda kimasihara??''Niliingia JF 2011 baada ya kuvutiwa na Mambo story za Rothschild,Nephilims,pyramids,TANU na akina Sykes,skendo za EPA, Escrow,Buzwagi,Mchuchuma,Bao la mkono,Mambo ya teknoloji ya NASA Kina Albert Einstein,Tesla,pia Mambo ya KGB,TISS,CIA,Mambo ya frauds ya kina Frank Abagnale,Emmanuel Nwude,Wauza unga kina Pablo Escobar Big Meech,Larry hoover,,story za music kina Rolling stones,2pac, Michael Jackson,Mbaraka Mwinshehe,Dogo Hashim,Miriam Makeba, Story za watawala kina Mao,Mobutu,Mansa Musa,Mambo ya biashara,ujenzi na jukwaa la afya.Ilikuwa home of Great Thinkers kweli.
Sasa hivi sio JF Ile nadhan ni kutokana na muingiliano na IG na Facebook users.Siku hizi kuna Uzi"Kula tunda kimasihara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha... ''Umewahi kula tunda kimasihara??''
Ukikosa Cha maana mkuu, jitahidi ukiweke wewe, jukwaa ni letu soteSiku hizi JAMII INTELLIGENCE haina jipya yaan, kila nikiingia sikuti cha maana