Ni kitu gani kilikufanya ukavutiwa na JF?

Duhhh....
Mkuu, kidogo nimeshtuka hadi pombe yote imekata.
Ebu niambie wapi hasa nilipo kukwaza ili nikuombe radhi kwa dhati kabisa...
 
hahah unayumba mkuu, soma freshi hapo, nimesema sample za kina mshana pia ww umo, nyie ni watu wema, nasema jf kuna watu wema nyie ni mifanoooo
Duhhh....
Mkuu, kidogo nimeshtuka hadi pombe yote imekata.
Ebu niambie wapi hasa nilipo kukwaza ili nikuombe radhi kwa dhati kabisa...
 
[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji120][emoji120][emoji120][emoji116][emoji116][emoji116][emoji123][emoji109][emoji123][emoji109]
 
Niliingia JF 2011 baada ya kuvutiwa na Mambo story za Rothschild,Nephilims,pyramids,TANU na akina Sykes,skendo za EPA, Escrow,Buzwagi,Mchuchuma,Bao la mkono,Mambo ya teknoloji ya NASA Kina Albert Einstein,Tesla,pia Mambo ya KGB,TISS,CIA,Mambo ya frauds ya kina Frank Abagnale,Emmanuel Nwude,Wauza unga kina Pablo Escobar Big Meech,Larry hoover,,story za music kina Rolling stones,2pac, Michael Jackson,Mbaraka Mwinshehe,Dogo Hashim,Miriam Makeba, Story za watawala kina Mao,Mobutu,Mansa Musa,Mambo ya biashara,ujenzi na jukwaa la afya.Ilikuwa home of Great Thinkers kweli.

Sasa hivi sio JF Ile nadhan ni kutokana na muingiliano na IG na Facebook users.Siku hizi kuna Uzi"Kula tunda kimasihara.
 
Nikianza na mimi, nilifungua akaunti JF baada ya kupendelea kugoogle baadhi ya mambo, mwishowe majibu mengi nayoyapata kupitia link ni kutoka JF. Nikaona isiwe tabu, niwe member kabisa.

Hata mimi ilikuwa exactly hivi πŸ‘†πŸ‘†

Sikuwahi kusikia JF popote tofauti na google,almost kila nilichogoogle nililetwa humu
 
Nilikuwa nasikiasikia story kwamba kuna mambo mazito ya siri mpaka za serikali na viongozi yanaongelewa huku mpaka watu wa usalama wa taifa wapo humu wanaongelea issue nzito nzito,nikajoin fasta ila siku hz naona jf imeishiwa,wanafunzi na vinyozi wa saluni wamejaa humu hamna cha maana tena
 
Uzi mtu anasafiri na Ford ranger[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…