Mimi kuna siku nilinunua koti zuri dressmann (duka la nguo la wanaume) sasa nikalitinga kesho yake na nilisahau kutoa price tag ikawa inaninginia kwenye kola. Nikashangaa watu wananiangalia sana njiani nikitembea na kwenye basi mawazo yangu nikajua niko smart nlpofika ghetto na kutahamaki was so much embarrassed