Ni kitu gani kilishakuaibisha katika maisha hutakisahau

Ni kitu gani kilishakuaibisha katika maisha hutakisahau

Mimi kuna siku nilinunua koti zuri dressmann (duka la nguo la wanaume) sasa nikalitinga kesho yake na nilisahau kutoa price tag ikawa inaninginia kwenye kola. Nikashangaa watu wananiangalia sana njiani nikitembea na kwenye basi mawazo yangu nikajua niko smart nlpofika ghetto na kutahamaki was so much embarrassed
 
Boss usharudi kwa jirani yako Jimena au bado upo Dar....
Yani kumbe alisafiri bila hata kusema? Si ningempa kamzigo kadogo akafikishe home[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Huyu jirani nae kumbe sio
 
Na ww naye unatafuta kesi zisizo na sababu...wangekuuliza umejuaje kama nguo hiyo ni ya dada
[emoji6] [emoji5] hata mm nimejiuliza asee,,,,yani hapo jamaa karuka mkojo katumbukia chooni
 
Yani kumbe alisafiri bila hata kusema? Si ningempa kamzigo kadogo akafikishe home[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Huyu jirani nae kumbe sio
Bongo bwana. Tembea utumwe. Ndo maana nkisafiri siagi
 
Watu kujua kwingi, kutapotosha umaarufu wa Jf humu. Na ndio maana sishangai wale waandishi na wachangiaji nguli humu, hawajitokezi sana siku hizi.

Yaani mwenzetu katoa maada yake, kauliza kama nawe una yako aibu, itoe ili wengine tucheke, tujifunze, pia kufurahisha genge, badala yake mnamponda na kumsanifu.

Ki-ukweli sio poa hata kidogo. Tubadilike, kama huna hoja, soma na upite kimya kimya. Ndiyo Ustaarabu huo.

Ahsante!
Aaaah, wakwe sawa. Ila mzee Abdalla kichwa wazi...aaah hana shaka, ndo mambo yake hayo
 
Watu kujua kwingi, kutapotosha umaarufu wa Jf humu. Na ndio maana sishangai wale waandishi na wachangiaji nguli humu, hawajitokezi sana siku hizi.

Yaani mwenzetu katoa maada yake, kauliza kama nawe una yako aibu, itoe ili wengine tucheke, tujifunze, pia kufurahisha genge, badala yake mnamponda na kumsanifu.

Ki-ukweli sio poa hata kidogo. Tubadilike, kama huna hoja, soma na upite kimya kimya. Ndiyo Ustaarabu huo.

Ahsante!
wengi sikuhizi humu ni wanafunz ambao wapo kwenye kipindi cha balehe si unajua kinavyo sumbua ndo matokeo yake mtu anataka kuonekana kachangia hata kama ni pumba.
 
Back
Top Bottom