hahaha jiranI hope hiyo pichu ilikuwa safi
Hehehehe niliuliza tu jirani, sikuwa na nia mbaya kabisahahaha jiran
Usiku sasa hiviHehehehe niliuliza tu jirani, sikuwa na nia mbaya kabisa
Pamoja na hayo, ni vyema tukahoji uhalaliUsiku sasa hivi
[emoji6] [emoji5] hata mm nimejiuliza asee,,,,yani hapo jamaa karuka mkojo katumbukia chooniNa ww naye unatafuta kesi zisizo na sababu...wangekuuliza umejuaje kama nguo hiyo ni ya dada
Bongo bwana. Tembea utumwe. Ndo maana nkisafiri siagiYani kumbe alisafiri bila hata kusema? Si ningempa kamzigo kadogo akafikishe home[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Huyu jirani nae kumbe sio
Aaaah, wakwe sawa. Ila mzee Abdalla kichwa wazi...aaah hana shaka, ndo mambo yake hayoWatu kujua kwingi, kutapotosha umaarufu wa Jf humu. Na ndio maana sishangai wale waandishi na wachangiaji nguli humu, hawajitokezi sana siku hizi.
Yaani mwenzetu katoa maada yake, kauliza kama nawe una yako aibu, itoe ili wengine tucheke, tujifunze, pia kufurahisha genge, badala yake mnamponda na kumsanifu.
Ki-ukweli sio poa hata kidogo. Tubadilike, kama huna hoja, soma na upite kimya kimya. Ndiyo Ustaarabu huo.
Ahsante!
Una hakika kama ni bongo au ndo amekariri tu???Bongo bwana. Tembea utumwe. Ndo maana nkisafiri siagi
wengi sikuhizi humu ni wanafunz ambao wapo kwenye kipindi cha balehe si unajua kinavyo sumbua ndo matokeo yake mtu anataka kuonekana kachangia hata kama ni pumba.Watu kujua kwingi, kutapotosha umaarufu wa Jf humu. Na ndio maana sishangai wale waandishi na wachangiaji nguli humu, hawajitokezi sana siku hizi.
Yaani mwenzetu katoa maada yake, kauliza kama nawe una yako aibu, itoe ili wengine tucheke, tujifunze, pia kufurahisha genge, badala yake mnamponda na kumsanifu.
Ki-ukweli sio poa hata kidogo. Tubadilike, kama huna hoja, soma na upite kimya kimya. Ndiyo Ustaarabu huo.
Ahsante!