Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Unafikiri nini kifanyike katika elimu ili vijana wetu wawe kama kina Isaack Newton?Na pia alisoma Trinity college na King' School huyo mwalimu nadhani walikuta Cambridge college thou sina hakika.
Isaac Barrow naye alisoma charterhouse according to wikipedia
Kama mnaweza kuruhusu darasa la saba kuingia bungeni, then we are doomed! Bungeni mijadala yake ni rocket science kwa msukuma! huyu aende achuuze afanye biashara zake za guest, siyo majadiliano ya bunge!Labda niulize sisi tuliosoma miaka ya nyuma na sasa kuna kitu gani kimebadirika?
Tulisoma bila kuwa na vitabu, hatukujuwa sylubus yoyote, Primary tuliwahi namba SAA 12 asubuhi na SAA 8 mchana ni mwisho wa masomo na kurudi nyumbani na wengi hatukusoma masomo ya ziada tuition lakini kulikuwa na vipanga balaa.
Sasa uvumilivu umenishinda, nina kitoto ni one of dependant wangu anaamka Saa 10 usiku saa 12 asubuhi anaanza tuition ya lazima shuleni anaendelea na masomo mpaka Saa 12 jioni kisa eti ni darasa la saba.
Sasa nimepitia repoti yake leo asubuhi hii ya annual examination sijafurahishwa nayo lakini remarks za class teacher ameandika Good.
Nimejiuliza sana darasa la Watoto 60 mtoto anakuwa wa 50 hii good inatoka wapi? OK average B lakini kutesa kote huku Watoto haya ndio matokeo yake? Na ieleweke wazi hii ni private school.
Sasa labda Mimi nimepitwa na wakati naomba mnielimishe huku ndio tulikofikia?
Ifike sasa Wazazi hasa kina mama tuache ushamba, ni bora kutafuta shule ya umma nzuri mtoto asome huko umuwekee usimamizi mzuri tu kuliko huu Utapeli tunaofanyiwa na hizi private school.
Anyway nisiwachoshe lakini sijafurahishwa kwakweli.
Huko shule za umma kusikie tu labda kidogo vidato vya juu kuliko huko shule za msingi, bora angalau huko primary school.Ifike sasa Wazazi hasa kina mama tuache ushamba, ni bora kutafuta shule ya umma nzuri mtoto asome huko umuwekee usimamizi mzuri tu kuliko huu Utapeli tunaofanyiwa na hizi private school.
Tuache kuwafundisha kukalili tu bila kureason na ndiyo maana tunayojifunza darasani hatuwezi kuyatumia ku impliment chochote kwa wengi wetu. Na elimu itufunze kwanza kutatua changamoto zetu mfano kutengeneza zana za kilimo bora kwa kutumia material zilizopo kwenye maeneo yetu na ambazo kila mtu anaweza kujifunza na kutengeneza kama walivyofanya wachina mwanzoUnafikiri nini kifanyike katika elimu ili vijana wetu wawe kama kina Isaack Newton?
Hata kama hujamzaa huyo tayari ni mwanao, acha kumkana huyo mtoto.Akili zako hazikutoshi, Mimi ni mlezi siyo mzazi, mtoto amefiwa na mzazi wake nimebeba jukumu la kumlea.
Acha this hash language, kuna maana gani ya maprivate school tunalipa mamimilion kama huwezi kupandisha uwezo wa mwanafunzi?
Kwa sisi Watoto wa mjini Olympio ndio choice, ile ni English medium ya serikali, ni bora ukampa tip head teacher mtoto akasoma pale ukawa unalipia school bus kuliko haya mamilion tunayopigwa na hizi private school halafu hakuna maajabu yoyote.Huko shule za umma kusikie tu labda kidogo vidato vya juu kuliko huko shule za msingi, bora angalau huko primary school.
Mtafutie shule nzuri karibu na nyumbani ili angalau apate muda mzuri wa kulala na kuwahi nyumbani.
Ni wazo zuri, je ni nani wa kulianzisha?Tuache kuwafundisha kukalili tu bila kureason na ndiyo maana tunayojifunza darasani hatuwezi kuyatumia ku impliment chochote kwa wengi wetu. Na elimu itufunze kwanza kutatua changamoto zetu mfano kutengeneza zana za kilimo bora kwa kutumia material zilizopo kwenye maeneo yetu na ambazo kila mtu anaweza kujifunza na kutengeneza kama walivyofanya wachina mwanzo
Kama hujui tofauti ya mzazi na mlezi hilo ni tatizo lako.Hata kama hujamzaa huyo tayari ni mwanao, acha kumkana huyo mtoto.
Bilashaka nafasi changamoto maana ni kitonga tayari hicho, kila mmoja asie na kitu ndio kimbilio kwakeKwa sisi Watoto wa mjini Olympio ndio choice, ile ni English medium ya serikali, ni bora ukampa tip head teacher mtoto akasoma pale ukawa unalipia school bus kuliko haya mamilion tunayopigwa na hizi private school halafu hakuna maajabu yoyote.
Washkaji zangu kadhaa wanajimudu lakini Watoto zao wako pale na wanafanya vizuri tu, hili swala la shule Wazazi tunajichanganya sana.
Nina kijana wangu amemaliza form four form five nataka aende shule ya serikali, hata selection bado mama yake huyo tayari kashachukuwa fomu private hivi ninavyokwambia yupo boarding anasoma pre form five, je ni kweli form five anahitaji hizo Pre? Kama siyo Utapeli ni nini?
Kuna jamaa alisema mwanao ni kilaza. Mimi napingana nae isipokuwa nadiriki kusema wewe ndio kilaza.kuna maana gani ya maprivate school tunalipa mamimilion kama huwezi kupandisha uwezo wa mwanafunzi?
Hapa mjini ongea na watu vizuri changamoto zote zinayeyuka.Bilashaka nafasi changamoto maana ni kitonga tayari hicho, kila mmoja asie na kitu ndio kimbilio kwake
Kwani ukikubali ni mwanao tatizo liko wapi, au mpaka umzae ndo awe mwanao?Kama hujui tofauti ya mzazi na mlezi hilo ni tatizo lako.
Huna akili.Kwani ukikubali ni mwanao tatizo liko wapi, au mpaka umzae ndo awe mwanao?
Huwa mnapata wapi muda wa kujibizana na hawa wajinga ambao JF wameijua juzi tu, mkuu hawa usiwe unawajibu wengi wao maisha yamewatandika so wanaingia mitandaoni kumalizia hasira kwa watu wasiowajua.Akili zako hazikutoshi, Mimi ni mlezi siyo mzazi, mtoto amefiwa na mzazi wake nimebeba jukumu la kumlea.
Acha this hash language, kuna maana gani ya maprivate school tunalipa mamimilion kama huwezi kupandisha uwezo wa mwanafunzi?
Ukijiona wewe una akili na wakati huo huo unakiri kuongozwa na mjinga, inabidi ukapimwe maradhi ya kichwa (kichaa) .Labda niulize sisi tuliosoma miaka ya nyuma na sasa kuna kitu gani kimebadirika?
Tulisoma bila kuwa na vitabu, hatukujuwa sylubus yoyote, Primary tuliwahi namba SAA 12 asubuhi na SAA 8 mchana ni mwisho wa masomo na kurudi nyumbani na wengi hatukusoma masomo ya ziada tuition lakini kulikuwa na vipanga balaa.
Sasa uvumilivu umenishinda, nina kitoto ni one of dependant wangu anaamka Saa 10 usiku saa 12 asubuhi anaanza tuition ya lazima shuleni anaendelea na masomo mpaka Saa 12 jioni kisa eti ni darasa la saba.
Sasa nimepitia repoti yake leo asubuhi hii ya annual examination sijafurahishwa nayo lakini remarks za class teacher ameandika Good.
Nimejiuliza sana darasa la Watoto 60 mtoto anakuwa wa 50 hii good inatoka wapi? OK average B lakini kutesa kote huku Watoto haya ndio matokeo yake? Na ieleweke wazi hii ni private school.
Sasa labda Mimi nimepitwa na wakati naomba mnielimishe huku ndio tulikofikia?
Ifike sasa Wazazi hasa kina mama tuache ushamba, ni bora kutafuta shule ya umma nzuri mtoto asome huko umuwekee usimamizi mzuri tu kuliko huu Utapeli tunaofanyiwa na hizi private school.
Anyway nisiwachoshe lakini sijafurahishwa kwakweli.
1. Ni ukatili kumuamsha mtoto saa 10 kisa shule. Okoa huyo mtoto unayemlea.Labda niulize sisi tuliosoma miaka ya nyuma na sasa kuna kitu gani kimebadirika?
Tulisoma bila kuwa na vitabu, hatukujuwa sylubus yoyote, Primary tuliwahi namba SAA 12 asubuhi na SAA 8 mchana ni mwisho wa masomo na kurudi nyumbani na wengi hatukusoma masomo ya ziada tuition lakini kulikuwa na vipanga balaa.
Sasa uvumilivu umenishinda, nina kitoto ni one of dependant wangu anaamka Saa 10 usiku saa 12 asubuhi anaanza tuition ya lazima shuleni anaendelea na masomo mpaka Saa 12 jioni kisa eti ni darasa la saba.
Sasa nimepitia repoti yake leo asubuhi hii ya annual examination sijafurahishwa nayo lakini remarks za class teacher ameandika Good.
Nimejiuliza sana darasa la Watoto 60 mtoto anakuwa wa 50 hii good inatoka wapi? OK average B lakini kutesa kote huku Watoto haya ndio matokeo yake? Na ieleweke wazi hii ni private school.
Sasa labda Mimi nimepitwa na wakati naomba mnielimishe huku ndio tulikofikia?
Ifike sasa Wazazi hasa kina mama tuache ushamba, ni bora kutafuta shule ya umma nzuri mtoto asome huko umuwekee usimamizi mzuri tu kuliko huu Utapeli tunaofanyiwa na hizi private school.
Anyway nisiwachoshe lakini sijafurahishwa kwakweli.
Mkuu umeandika kitu cha maana sana, sasa Kali kuliko huyu mtoto anaumwa ni siku ya tatu sasa, inabidi aende shule huku anaumwa, nimemuuliza wife kati ya shule na na afya kipi ni bora? jibu nililopewa wacha nibaki nalo moyoni tu, eti kisingizio darasa la saba wanajiandaa na mtihani wa moko.1. Ni ukatili kumuamsha mtoto saa 10 kisa shule. Okoa huyo mtoto unayemlea.
2. Mtoto anafaulu Kwa wastani wa 'B', mwalimu lazima aandike 'very good'. Kumbuka, A - Excellent, B - Very Good, C - Good na D - Poor/Weak. Si suala la nafasi ya dogo darasani, ni personal progress yake.
3. Wazazi wa Tanzania AMKENI, mmezubaa sana. Kwanini mmeacha shule za binafsi ziwafanye zinavyotaka?
Mzazi una jukumu la kulinda ustawi na maendeleo ya mwanao. Usikubali tu kila linalotoka shule.
- Usilazimishwe kumuweka mtoto boarding
- Mtoto asilazimishwe kufanya homework za kupindukia. Kataza.
- Remedials ni option, si lazima.
- Hoji kuhusu michango na mipango ya shule kuhusu taaluma ya mwanao.
Akili za maccm.Ukijiona wewe una akili na wakati huo huo unakiri kuongozwa na mjinga, inabidi ukapimwe maradhi ya kichwa (kichaa) .
Pole sana.Mkuu umeandika kitu cha maana sana, sasa Kali kuliko huyu mtoto anaumwa ni siku ya tatu sasa, inabidi aende shule huku anaumwa, nimemuuliza wife kati ya shule na na afya kipi ni bora? jibu nililopewa wacha nibaki nalo moyoni tu, eti kisingizio darasa la saba wanajiandaa na mtihani wa moko.
Sasa naomba kuelimishwa hivi kama afya ya mwanafunzi aio sawa na akipona akaenda kufanya mtihani wa moko, je asipofanya vizuri moko inamzuia kufanya National examination?
Kituko zaidi tunawatesa Watoto kwa manufaa ya shule maana wakimaliza National examination na wanafaulu kwenda form one lakini Wazazi bado tunawapeleka private, sasa shida yote hii ni ya nini?