GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mumeo "swabaya" anapumuliwa kidogoni ndio maana wametulia kimyaaaaaa mihemko ipepungua!!?lini utampelekea wali maini pale kisongo!???Bendera fuata upepo. Ulimbukeni na mihemko una gharama na athari zake. Watu wengi ni wajuaji kuliko ujuaji wenyewe.
Sabaya si ananyea debe mkuu? Tutadeal nae alimpelekea mahakamani. Bashite hana ishu naamini kunankona watambamba tu maana alifanya mengi machafu. Hayupo salama dawa ni kuacha wanaomfuatilia waendelee na kazi.Nimeshtuka kuona sasa ni Wiki ya Tatu hii Watanzania wengi wa Mitandaoni ni kama vile tumezimwa ghafla na ule 'Mvumo' wetu wa Kumsagia Kunguni Ole Sabaya na Pacha wake wa Matukio ya 'hovyo hovyo' nchini Paul Makonda...
Toka lini ukawa chadema weweChadema tumeamua kumuunga mkono rais Samia Suluhu na tutampigia kura 2025 Kama atagombea
Kwa sababu kigogo nae amehamia upande wa sabaya.Nimeshtuka kuona sasa ni Wiki ya Tatu hii Watanzania wengi wa Mitandaoni ni kama vile tumezimwa ghafla na ule 'Mvumo' wetu wa Kumsagia Kunguni Ole Sabaya na Pacha wake wa Matukio ya 'hovyo hovyo' nchini Paul Makonda.
Ni kwanini Watanzania wa Mitandaoni humu na hata wale wa nje ( katika Jamii ) tukiwa tuna Jambo letu huwa hatuendi nalo hadi likamilike na badala yake huwa 'tunachepushwa' Kiaina kisha tunalisahau na kuachana nalo na kuwapa Ushindi wale tuliokuwa tukiwasagia Kunguni?