Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Halafu kwenye maji wawe wameweka na ndimu. Pigia marafiki zako wawe standby kukufanyia top-upUkiletewa Maji ya kunawa kwenye Bakuli ya Kupasuka🤣🤣🤣🤣 ruuunnnnn. Kimbia na usigeuke nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kwenye maji wawe wameweka na ndimu. Pigia marafiki zako wawe standby kukufanyia top-upUkiletewa Maji ya kunawa kwenye Bakuli ya Kupasuka🤣🤣🤣🤣 ruuunnnnn. Kimbia na usigeuke nyuma
sasa wao kodi watalipaje yaani uagize pepsi kweli!Mimi huwa nakula home nashiba then nikienda huko, naagiza Iced tea, au Juice najua bei zake haziogopeshi 😂
Kula nawaachia mafisadi, Karambezi au Epi d'or au ni mwendo wa Chai tusasa wao kodi watalipaje yaani uagize pepsi kweli!
Kwani walipokufungulia mlango na kukubebea begi walikuchaji kiasi gani?Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂
Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari.
Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa jasho??
popote kanuni yangu lazma niulize bei kwanza kama hawana menu display boardKuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂
Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari.
Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa jasho??
Kwanini wakwetuIle ukiingia Restaurant unafunguliwa mlango.....
Unavutiwa kiti....
Hujamaliza kushangaa....unaletewa menu upitie....
Unaagiza....
Ukiona Muhudumu amesimama karibu na maeneo ulipokaa........Kimbia
Tabasamu la wahudumuKuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂
Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari.
Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa jasho??
Hao wengi wanapatikana kitambaa cheupe bana 😂😂zingatia wahudumu wawe na tako.
😁😁😁 nilichanganya mafailiHao wengi wanapatikana kitambaa cheupe bana 😂😂
Hizo huduma zote ziko billed na hata lile tabasamu la wahudumu linalipiwakufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂
Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari.
NdioooooooooooUkiwa hunusi vitunguu kimbia
Hiyo Bill itakuja unaweza kutafuta mlango wa kutokea na usiuone Wakwetu🤣Kwanini wakwetu