Ni kitu gani kinakufanya ujue “Restaurant” bei yake sio za kitoto

Ukiona mezani chumvi sio ya kutikisa ile yenye vitobo juu bali ni kile kijimashine cha kusaga chumvi ya mawe; my friend jua tu they bill in dollars
IMG_8827.jpeg
 
Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂

Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari.

Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa jasho??
Kwani walipokufungulia mlango na kukubebea begi walikuchaji kiasi gani?
 
Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂

Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari.

Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa jasho??
popote kanuni yangu lazma niulize bei kwanza kama hawana menu display board
 
Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂

Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari.

Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa jasho??
Tabasamu la wahudumu
 
Back
Top Bottom