Ni kitu gani kinakufanya ujue “Restaurant” bei yake sio za kitoto

Ni kitu gani kinakufanya ujue “Restaurant” bei yake sio za kitoto

Ukiskia vinanda tu zile symphony ujue umeisha... Kula Shishi food au home ukishiba nenda Sea cliff agiza iced tea au kahawa yako taaratibuu 😂😂😂
Aisee umenifanya nimecheka sana.

Ubarikiwe sana...
Nilitewa vitabu vitatu vya Soft drinks,Menu and sijui other..kama nipo Library vile.😀😀😀😀😀
 
Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂

Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari.

Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa jasho??
Aina ya watu waliopo hapo ndani. Kingine Wi-fi ya bure n.k
 
Mimi huwa nakula home nashiba then nikienda huko, naagiza Iced tea, au Juice najua bei zake haziogopeshi 😂
Kuna restaurant nilienda bana, mazingira safi kabisa wahudumu safi kabisa wamependeza. Nikaagiza juice ikaja. Bill badae ni buku 5 glass😂 alafu sio Dar ni mkoani

Hii ilikuwa mara yangu ya kwanza kununua fresh juice bei kubwa hivi lakini bahati nzuri juice ilikuwa tamu mno nikaishia kuwa mteja wao japo bei ilinistua siku ya kwanza
 
Karibu Akemi, posta Juice fresh 12,000/= haipungui 10,000/=😂
 
Hahahaha..nmechekaa sn as wiki Moja ilopita nlikua Sehem kama hzo..muziki classic speaker huon..wifi wanakupa.wateja wachache n hakuna bodabda nje...nlipang kupiga biaa 1 ya pili nkauliza bei..kumbe tofauti n mia 5 tu..daah..nlienjoy sna kwa kweli...sometyms hutakiw kuogopaa ulizaaa kwnz
 
Karibu Akemi, posta Juice fresh 12,000/= haipungui 10,000/=[emoji23]
Sema Juice yao tamu sana pale, Huwa nikiwa na kiu au njaa sijali bei nashiba kwanza na mengine yatajulikana.
Mbinu ni moja hakikisha unatembea na hela nyingi kwenye wallet na hizo hela fanya za dharula , kulipia Bills tumia LIPA HAPa au kadi ya benki
 
Back
Top Bottom