Ni kitu Gani kinasababisha magari kuwa na milio tofauti?

Ni kitu Gani kinasababisha magari kuwa na milio tofauti?

...labda na mimi niulize; chukulia binadamu wenye sifa zinazofana - jinsia moja, umri mmoja, race moja, etc. Kila mmoja ana sauti unique; in fact binadamu wote zaidi ya bilioni 7 walio hai leo, kila mmoja ana sauti ya peke yake; ndio maana akikatiza mtu nje huko akiongea hata kama humwoni utajua ni fulani; hii inasababishwa na nini?
 
... labda na mimi niulize; chukulia binadamu wenye sifa zinazofana - jinsia moja, umri mmoja, race moja, etc. kila mmoja ana sauti unique; in fact binadamu wote zaidi ya bilioni 7 walio hai leo, kila mmoja ana sauti ya peke yake; ndio maana akikatiza mtu nje huko akiongea hata kama humwoni utajua ni fulani; hii inasababishwa na nini?
Halafu katika hilo anakaa mmatumbi mmoja anajiita Kiranga akishashiba ugali wake na nyanya chungu, anakuambia Mungu hayupo Eti!

Sasa unajiuliza, wanasayansi ndio walioseti makoromelo yetu kuwe na utofauti wa sauti kwa kila binadamu au😎😎!!
 
... actually sio binadamu tu; viumbe vyote hakuna viwili vinavyofanana sauti hata katika kundi lao. Kwa mfano, mamia ya kunguru wakiwa wanapiga kelele tunaweza kudhani sauti zao zinafana; la hasha!

Ni kwa kuwa hatuna uwezo wa utambuzi wa utofauti wa sauti za kunguru ndio maana tunaweza kufikiri hivyo but wao kwa wao (kama ilivyo sisi kwa sisi) hutofautishana kwa sauti zao among other criteria. Vivyo hivyo kwa ndege na wanyama wengine.
 
Hakika Mungu ni fundi kumbe, anastahili sifa zote Kama ni hivyo.
 
Different configurations of engines differ in sound Due to the values of the dominant frequency emitted each motor. To calculate this frequency the engine speed has to be broken down from revolution per minute to revolution per second which is simply dividing the RPM value by sixty.

Source: Carthrottle dot com
 
Toyota anazo Aina nyingi Sana za magari lakini kila Lina mlio wake katika injini kutokana na utengenezaji na uchanganyaji haraka wa mafuta na nguvu ya injini.

Nawasilisha
Different configurations of engines differ in sound Due to the values of the dominant frequency emitted each motor.To calculate this frequency the engine speed has to be broken down from revolution per minute to revolution per second,which is simply dividing the RPM value by sixty.
Source:carthrottle dot com
 
Mfano, mlio wa Nissan Safari ni tofauti na WA Toyota Land Cruiser, Mlio wa Toyota Land Cruiser ni tofauti na WA Toyota Hilux na Mlio wa Hilux ni tofauti na wa VW double cabin.

Je ni kitu Gani kinachopelekea tofauti hizi?
Kuna exhaust system, level of insulation kwenye engine hood na engine yenyewe, kuna number of cylinders, kuna design ya engine configuration.
 
Straight inline 4 or 6 cylinders, V configuration or W configuration, Boxer Configuration... Zina effect kwenye sound frequencies za engine..
Kwa hiyo inline engine ya pistoneS 6 na CÇ 2500. Ya petroli ya Nissan inatoa Mlio sawa na inline ya pistones 6 ya Toyota CC 2500 petroli?
 
Kwa hiyo inline engine ya pistoneS 6 na CÇ 2500. Ya petroli ya Nissan inatoa Mlio sawa na inline ya pistones 6 ya Toyota CC 2500 petroli?
Asante kwa conversation.. kama unaona hapo juu nilipo andika hapo juu sound ya engine ipo determined na factors nyingi .. zinaweza fanana kama every single component is the same au kutofautiana kulingana na factors kama

1. Exhaust system ya kila moja
2. Design ya camshafts
3. Insulation covers used kwenye injini
4. Cc zaweza kua sawa but torque ikawa tofauti. Hii nayo ina effect kwenye sound.
5. Compression ratio kama zikiwa tofauti nazo zitatofautiana hata kama cc ni sawa.
6 Difference in clearances on reciprocating parts between engines of one car maker to another husababisha sound difference.
7 Shape ya cylinders head internals, intake and exhaust porting, intake and exhaust manifolds zina effect kwenye sound pia.

To summarize, any engine built (or re-built) to the same design specifications ought to sound pretty much the same, if in good condition regardless of imetengenezwa na nissan or Toyota or any other manufacturer.
 
Back
Top Bottom