Ni kitu Gani kinasababisha magari kuwa na milio tofauti?

Ni kitu Gani kinasababisha magari kuwa na milio tofauti?

Asante kwa conversation.. kama unaona hapo juu nilipo andika hapo juu sound ya engine ipo determined na factors nyingi .. zinaweza fanana kama every single component is the same au kutofautiana kulingana na factors kama

1. Exhaust system ya kila moja
2. Design ya camshafts
3. Insulation covers used kwenye injini
4. Cc zaweza kua sawa but torque ikawa tofauti. Hii nayo ina effect kwenye sound.
5. Compression ratio kama zikiwa tofauti nazo zitatofautiana hata kama cc ni sawa.
6 Difference in clearances on reciprocating parts between engines of one car maker to another husababisha sound difference.
7 Shape ya cylinders head internals, intake and exhaust porting, intake and exhaust manifolds zina effect kwenye sound pia.

To summarize, any engine built (or re-built) to the same design specifications ought to sound pretty much the same, if in good condition regardless of imetengenezwa na nissan or Toyota or any other manufacturer.
Asante sana kwa maelezo mazuri sana
 
Sound= mdundo/malagalasi x m - s x /-voice over accelerator plus mafulukwinyo.
 
Mfano, mlio wa Nissan Safari ni tofauti na WA Toyota Land Cruiser, Mlio wa Toyota Land Cruiser ni tofauti na WA Toyota Hilux na Mlio wa Hilux ni tofauti na wa VW double cabin.

Je ni kitu Gani kinachopelekea tofauti hizi?
Engine formation kaka japo kuna milio huwa haibadiliki kwa gari zote... Milio ya engine za diesel na milio ya engine za petrol
 
Mfano, mlio wa Nissan Safari ni tofauti na WA Toyota Land Cruiser, Mlio wa Toyota Land Cruiser ni tofauti na WA Toyota Hilux na Mlio wa Hilux ni tofauti na wa VW double cabin.

Je ni kitu Gani kinachopelekea tofauti hizi?
Ukiwa unamkamua mwajuma analia sawa na somoe?
 
Back
Top Bottom