Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Engine!
Halafu katika hilo anakaa mmatumbi mmoja anajiita Kiranga akishashiba ugali wake na nyanya chungu, anakuambia Mungu hayupo Eti!... labda na mimi niulize; chukulia binadamu wenye sifa zinazofana - jinsia moja, umri mmoja, race moja, etc. kila mmoja ana sauti unique; in fact binadamu wote zaidi ya bilioni 7 walio hai leo, kila mmoja ana sauti ya peke yake; ndio maana akikatiza mtu nje huko akiongea hata kama humwoni utajua ni fulani; hii inasababishwa na nini?
... actually sio binadamu tu; viumbe vyote hakuna viwili vinavyofanana sauti hata katika kundi lao. Kwa mfano, mamia ya kunguru wakiwa wanapiga kelele tunaweza kudhani sauti zao zinafana; la hasha!Halafu katika hilo anakaa mmatumbi mmoja anajiita Kiranga akishashiba ugali wake na nyanya chungu, anakuambia Mungu hayupo Eti!
Sasa unajiuliza, wanasayansi ndio walioseti makoromelo yetu kuwe na utofauti wa sauti kwa kila binadamu au😎😎!!
Hakika Mungu ni fundi kumbe, anastahili sifa zote Kama ni hivyo.... actually sio binadamu tu; viumbe vyote hakuna viwili vinavyofanana sauti hata katika kundi lao. Kwa mfano, mamia ya kunguru wakiwa wanapiga kelele tunaweza kudhani sauti zao zinafana; la hasha!
Ni kwa kuwa hatuna uwezo wa utambuzi wa utofauti wa sauti za kunguru ndio maana tunaweza kufikiri hivyo but wao kwa wao (kama ilivyo sisi kwa sisi) hutofautishana kwa sauti zao among other criteria. Vivyo hivyo kwa ndege na wanyama wengine.
Mlio wa gari ni mlio wa engine. Mafla haiwezi ikalia kama gari haina engine.Kuna milio miwili. Wa injini na wa mafla.
Tunaongelea upi?
FAFaNua mkuuKitu kile kile ila technology ya ku develop ni tofauti
Different configurations of engines differ in sound Due to the values of the dominant frequency emitted each motor.To calculate this frequency the engine speed has to be broken down from revolution per minute to revolution per second,which is simply dividing the RPM value by sixty.
Source:carthrottle dot com
Kuna exhaust system, level of insulation kwenye engine hood na engine yenyewe, kuna number of cylinders, kuna design ya engine configuration.Mfano, mlio wa Nissan Safari ni tofauti na WA Toyota Land Cruiser, Mlio wa Toyota Land Cruiser ni tofauti na WA Toyota Hilux na Mlio wa Hilux ni tofauti na wa VW double cabin.
Je ni kitu Gani kinachopelekea tofauti hizi?
Engine configuration ndio Nini?Kuna exhaust system, level of insulation kwenye engine hood na engine yenyewe, kuna number of cylinders, kuna design ya engine configuration.
Straight inline 4 or 6 cylinders, V configuration or W configuration, Boxer Configuration... Zina effect kwenye sound frequencies za engine..Engine configuration ndio Nini?
Kwa hiyo inline engine ya pistoneS 6 na CÇ 2500. Ya petroli ya Nissan inatoa Mlio sawa na inline ya pistones 6 ya Toyota CC 2500 petroli?Straight inline 4 or 6 cylinders, V configuration or W configuration, Boxer Configuration... Zina effect kwenye sound frequencies za engine..
Asante kwa conversation.. kama unaona hapo juu nilipo andika hapo juu sound ya engine ipo determined na factors nyingi .. zinaweza fanana kama every single component is the same au kutofautiana kulingana na factors kamaKwa hiyo inline engine ya pistoneS 6 na CÇ 2500. Ya petroli ya Nissan inatoa Mlio sawa na inline ya pistones 6 ya Toyota CC 2500 petroli?