Ni kitu gani kitawafanya watanzania kuondoa uoga na kuungana kuukataa uongozi wa CCM?

Waambie yale majamaa Kule Munduli na Ngerengere yatusaidie kututolea hili balaa nchini mwetu
Sie pekee hatuweziii
Huko unako dhani ndio msaada ndiko waliko anzia kujiimarisha na wamesha jijenga huko na kuweka watu wanao ungana nao kwa 95% unadhani IGP na CDF pamoja na DGTISS wenye uzalendo wa ndani kabisa kwa taifa na wananchi wake wangeweza kushiriki na kufumbia macho kundi linalo teka na kuua raia wasio na hatia eti kisa tu! wanapingana na uovu unao fanywa na serikali? Halafu wakakaa kimya hata siku moja tu kusikia wakikemea hakuna, bado una imani na hivyo vyombo hadi sasa?

Njia pekee hapa ni aither tuendelee kuvumilia hadi wasalitiane wenyewe kwa wenyewe au tumwachie mungu kama ilivyo zoeleka hadi kwao.
 
Sasa hao chadema hata umoja tu ndani ya chama hakuna chauma wapo na ubwabwa vyama vya siasa Tanzania vipo kifala sana

USSR
Ungekuja hata na kafact kamoja ungetusaidia sana, ni nani kutoka ndani ya chadema alikuambia hawana umoja au unawawekea maneno kwenye vinywa vyao
 
Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea...

Hata mashirika ya haki za kibinadamu, mashirika ya umoja wa mataifa huwa wanapata nguvu kuingilia kati wakiona kuna msukumo wa raia wenyewe, sio mwanaharakati mmoja mmoja.

Wanaharakati wanajitahidi kuamsha raia lakini raia wamelala.
Wanaamshwa halafu hawataki kuamka tena wanatikiswa kwa nguvu lakin wapi wamegoma kuamka
Shida ni mwenge
Jaman nawakumbusha tafuta chimbo mlambe asali tuu
Mama atawale hadi 2035
Ngoja tulambe asali sisi
 
Waambie yale majamaa Kule Munduli na Ngerengere yatusaidie kututolea hili balaa nchini mwetu
Sie pekee hatuweziii
We nyumbu unaweza kulala saa tisa mchana wale jamaa wakishika usukani usikifir watacheka na wewe
Nasemaje Mama atawale hadi 2035
 
roho i radhi lakini mwili unakataa!
Changamoto nani aanze.
TAL ameanza lakini tumemkimbia.
 
Watanzania bado tunaogopa.

Zaidi ya miaka 60 tumewaamini, tumewavumilia, na tumewapa mamlaka ya kutuongoza. Lakini mpaka leo hali za maisha ni ngumu, ufisadi umetamalaki, rushwa imekuwa mfumo wa maisha, vijana hawana ajira, huduma za jamii ni dhaifu huku wakizidi kujiongezea mishahara na posho kubwa kana kwamba hawapo kwenye nchi hi

Tunalia kuhusu mfumuko wa bei, lakini tunaogopa kuuliza.
Tunaona ufisadi kila siku, lakini tunaogopa kusema.
Ajira zimekuwa ngumu kwa vijana lakini tunaogopa kupaza sauti
Tunachekwa na hata kuitwa majina ya fedhea lakini tunaogopa kujitetea

Watu wanapotea, wanakamatwa, wanatishwa, si kwa sababu wamefanya kosa, bali kwa sababu waliuliza maswali ambayo sisi tunaogopa kuuliza.

Wanaotutawala wanatujua ni waoga:

  • waoga wa virungu (defenda moja kila mtu na njia yake)
  • Waoga wa kupoteza kazi au biashara.
  • Waoga wa kuitwa mpinzani.
  • Woga wa kusema ukweli.

Na hiyo ndiyo silaha yao kuu, wanajua tunaogopa.

Mpaka lini tutakubali kunyanyaswa kwasababu ya woga wetu ?

Sauti ya woga ni kifo cha matumaini. Sauti ya ukweli ni mwanzo wa ukombozi.

Wanaharakati wanajitahidi kuamsha raia lakini raia ni waoga, ni shughuli pevu !!, inakuwa ngumu hata kwa mashirika ya umoja wa mataifa kuingilia kati wakiona hakuna msukumo wa wananchi kiujumla.
Wengi wamesha ukataa japokuwa pesa za mikopo wanachukua
 
We nyumbu unaweza kulala saa tisa mchana wale jamaa wakishika usukani usikifir watacheka na wewe
Nasemaje Mama atawale hadi 2035
Muda mwingine jaribu kuacha ujinga wa mazoea Kule Burkina Faso kwa Traore wanalala saa Tisa
 
Huko unako dhani ndio msaada ndiko waliko anzia kujiimarisha na wamesha jijenga huko na kuweka watu wanao ungana nao kwa 95% unadhani IGP na CDF pamoja na DGTISS wenye uzalendo wa ndani kabisa kwa taifa na wananchi wake wangeweza kushiriki na kufumbia macho kundi linalo teka na kuua raia wasio na hatia eti kisa tu! wanapingana na uovu unao fanywa na serikali? Halafu wakakaa kimya hata siku moja tu kusikia wakikemea hakuna, bado una imani na hivyo vyombo hadi sasa?

Njia pekee hapa ni aither tuendelee kuvumilia hadi wasalitiane wenyewe kwa wenyewe au tumwachie mungu kama ilivyo zoeleka hadi kwao.
Naunga mkono khojja
 
Watanzania bado tunaogopa.

Zaidi ya miaka 60 tumewaamini, tumewavumilia, na tumewapa mamlaka ya kutuongoza. Lakini mpaka leo hali za maisha ni ngumu, ufisadi umetamalaki, rushwa imekuwa mfumo wa maisha, vijana hawana ajira, huduma za jamii ni dhaifu huku wakizidi kujiongezea mishahara na posho kubwa kana kwamba hawapo kwenye nchi hi

Tunalia kuhusu mfumuko wa bei, lakini tunaogopa kuuliza. Tunaona ufisadi kila siku, lakini tunaogopa kusema.
Ajira zimekuwa ngumu kwa vijana lakini tunaogopa kupaza sauti. Tunachekwa na hata kuitwa majina ya fedhea lakini tunaogopa kujitetea.

Watu wanapotea, wanakamatwa, wanatishwa, si kwa sababu wamefanya kosa, bali kwa sababu waliuliza maswali ambayo sisi tunaogopa kuuliza.

Wanaotutawala wanatujua ni waoga:
  • waoga wa virungu (defenda moja kila mtu na njia yake)
  • Waoga wa kupoteza kazi au biashara.
  • Waoga wa kuitwa mpinzani.
  • Woga wa kusema ukweli.
Na hiyo ndiyo silaha yao kuu, wanajua tunaogopa.

Mpaka lini tutakubali kunyanyaswa kwasababu ya woga wetu ?

Sauti ya woga ni kifo cha matumaini. Sauti ya ukweli ni mwanzo wa ukombozi.

Wanaharakati wanajitahidi kuamsha raia lakini raia ni waoga, ni shughuli pevu !!, inakuwa ngumu hata kwa mashirika ya umoja wa mataifa kuingilia kati wakiona hakuna msukumo wa wananchi kiujumla.
Mkuu siku wakifufuka bila kusahau na wewe ni mmoja wao!!
 
Makabila ni mengi sana
 
Muda mwingine jaribu kuacha ujinga wa mazoea Kule Burkina Faso kwa Traore wanalala saa Tisa
Wale ni wazalendo
Bongoland kila mtu anatafuta chimbo alambe asali
Hata wewe tukikupa kile kiti utatesa sana watu maana unaona kuna viumbe wanasogelea asali yako
Nyuki ni wakali sana wanapoona asali yao inachukuliwa
 
Back
Top Bottom