Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Chakula ni afya, chakula ni tia lakini chakula kinaweza kuwa na ubora mdogo au kukosa kabisa iwapo kitakosewa wakati wa kupikwa na kumaliza kabisa virutubisho.
Chakula kama hicho watu hula kujaza tumbo lakini kinakuwa hakina faida kwa mwili.
Je, nini mpishi asifanye au kuweka ili kupata chakula bora kwa afya ya mwili? Unaweza kutaja aina ya chakula na jinsi unaona kinakosewa kuandaliwa ikiwezekana toa njia bora za kuandaa.