Alexprosper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,286
- 6,110
Dagaa hawatakiwi wawe na mchuzi?Dagaa akiwekea mchuzi ..ashaharbu mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dagaa hawatakiwi wawe na mchuzi?Dagaa akiwekea mchuzi ..ashaharbu mambo
Ushawah kuwaona dagaa wana mchuzi?Dagaa hawatakiwi wawe na mchuzi?
Sawa tajiriSikukumbuka picha sikunyingine nitaweka
Nimejikuta nakitamani hiki chakula[emoji39]Chakula ni afya, chakula ni tia lakini chakula kinaweza kuwa na ubora mdogo au kukosa kabisa iwapo kitakosewa wakati wa kupikwa na kumaliza kabisa virutubisho.
Chakula kama hicho watu hula kujaza tumbo lakini kinakuwa hakina faida kwa mwili.
Je, nini mpishi asifanye au kuweka ili kupata chakula bora kwa afya ya mwili? Unaweza kutaja aina ya chakula na jinsi unaona kinakosewa kuandaliwa ikiwezekana toa njia bora za kuandaa.
![]()
Wewe huwa unatumia njia gani kuonja chumvi kwenye chakula?Uchafu katika kupika chakula.
Mpishi awe msafi na kuzingatia hali ya usafi.
Kuonja chakula kama kiko vizuri chumvi kwa kutumia kijiko/mwiko kwa kueka chakula au mchuzi katika mkono kwa mwiko halafu analamba mkono kwa kutumia ulimi, ule ni uchafu na hatari kiafya.
Kule kijijini kwetu wanataka supu ya dagaa babu,ukijipikisha hiyo ya town chap wanaomba maji waongezeUshawah kuwaona dagaa wana mchuzi?
Duh! Sema sijui ndio mazoea. Dagaa wa mchuzi ni wabayaKule kijijini kwetu wanataka supu ya dagaa babu,ukijipikisha hiyo ya town chap wanaomba maji waongeze
Sema itategemea na mazoea ila dagaa hawafai na mamichuzi.Dagaa hawatakiwi wawe na mchuzi?
Yaani wale huwambii kitu yani wanapenda supu balaa
Kweli umeona ee
Na ww ukipika huwa unaweka mchuzi?Kule kijijini kwetu wanataka supu ya dagaa babu,ukijipikisha hiyo ya town chap wanaomba maji waongeze
Mie naweka chakula au mchuzi katika chombo iwe bakuli au chombo kingine chochote kile halafu naonja kuona chumvi kama imekolea au bado.
Sawa ahsante!!Mie naweka chakula au mchuzi katika chombo iwe bakuli au chombo kingine chochote kile halafu naonja kuona chumvi kama imekolea au bado.
Pia kama ni mchuzi naweza kudondoshea katika kiganja cha mkono wangu pasipo kugusa ule mwiko katika mkono halafu ndio naonja.
Niko sensitive sana na usafi ndiyo sababu siwezi kula kwa mama ntilie wa Tanzania wengi ni wachafu sana.
Naona kichefuchefu tu.
Mama ntilie wanaeza kuwa wanajua kupika vizuri lakini ni wachafu sana ndio shida iko hapo.
Wewe unagusa kijiko au mwiko katika mkono halafu unaonja sio?
Ila kwa maisha ya bongo watu wanaotumia mafuta yasiyo na madhara makubwa ni wachache sana ndo maana wengi wakigonga kuanzia 40 majanga yanaanzaNi hatari kwa afya ya moyo wako
Ndio, kumbe nakosea sikua najua. Umenielekeza nitakua nafanya kama wewe.Wewe unagusa kijiko au mwiko katika mkono halafu unaonja sio?