Ni kitu gani Mpishi akifanya anakuwa kaharibu Ubora wa Chakula?

Uchafu katika kupika chakula.
Mpishi awe msafi na kuzingatia hali ya usafi.

Kuonja chakula kama kiko vizuri chumvi kwa kutumia kijiko/mwiko kwa kueka chakula au mchuzi katika mkono kwa mwiko halafu analamba mkono kwa kutumia ulimi, ule ni uchafu na hatari kiafya.
 
Nimejikuta nakitamani hiki chakula[emoji39]

 
Mpishi mzuri ni
Yule anayejua ku balance viungo
Kutengeneza ladha
Kutengeneza harufu
Mpangilio wa jiko na vyombo
Usafi wa jiko na vyombo
Usafi binafsi
Tabasamu[emoji7]
 
Wewe huwa unatumia njia gani kuonja chumvi kwenye chakula?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huwa unatumia njia gani kuonja chumvi kwenye chakula?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie naweka chakula au mchuzi katika chombo iwe bakuli au chombo kingine chochote kile halafu naonja kuona chumvi kama imekolea au bado.

Pia kama ni mchuzi naweza kudondoshea katika kiganja cha mkono wangu pasipo kugusa ule mwiko katika mkono halafu ndio naonja.

Niko sensitive sana na usafi ndiyo sababu siwezi kula kwa mama ntilie wa Tanzania wengi ni wachafu sana.
Naona kichefuchefu tu.

Mama ntilie wanaeza kuwa wanajua kupika vizuri lakini ni wachafu sana ndio shida iko hapo.
 
Sawa ahsante!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maongezi yake mbele ya watu, mpishi lazima awe na maongezi ambayo hayatopelekea walaji wajisikie kinyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…