Niliambiwa nisome wanaume wapo tu....mxiiu
Kumbe uongo?Niliambiwa nisome wanaume wapo tu....mxiiu
Niliambiwa mabeberu yanaionea wivu tanganyika kwa sababu ina rasilimali nyingi niliamini kabisa baadae kusitukia watu wanashangilia tena misaada kutoka kwa mabeberu haohao!Tanzania ni Nchi yq Amani, Watu duniani kote wanatamani kuja kuishi Tanzania
Matonya alivyoimba hata kiss na hug sipati, nikajua ni usanii kumbe kweli bwana πKumbe uongo?
Matonya alivyoimba hata kiss na hug sipati, nikajua ni usanii kumbe kweli bwana π
Niliambiwa mabeberu yanaionea wivu tanganyika kwa sababu ina rasilimali nyingi niliamini kabisa baadae kusitukia watu wanashangilia tena misaada kutoka kwa mabeberu haohao!
Kwani hawapo?π€Niliambiwa nisome wanaume wapo tu....mxiiu