Ni kitu gani ulichowahi kujuta kukinunua?

rahisi ni gharama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viatu pea kama tatu hivi bwana. Sijui nilivinunuliaga nini.
Nimevinunua ghaliii halafu sijavaa hata siku moja mpaka vimeanza kuharibika..
Bwana bwana nishawahi kununua viatu pea mbili halafu vyote vilikua tofauti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ile siku hata sijui ilikuwaje Mungu wangu... Nimechagua kwa mkono wangu na macho ya naona nafika home viatu viko vya kulia tupu na kushoto tupu, Kumbuka hapo namba ni tofauti daah, ikabidi nivitupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kununa vya ndani vikawa vidogoo siunajua tena huwzi hata kugawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuizi sinunui kitu bila size yani size zangu zote najua za kila kitu
underwear sikuizi nikishanunua Navaa jinzi langu najaribia kwa juu isipotosha nagawa, maana zamani nilikua najaribia moja kwa moja ndio nabaki nakaa nazo kama mapambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee Mie nakumbuka mwaka 2003 nilienda Kariakoo kununua nguo.

Nimezunguka kama dakika 15 sijapata nguo ninayoipenda(niliyoifuata),nkajisemea moyoni moyoni yani mie mjanja mzima wa town leo nakosa nguo kariakoo! SIKUBALI!

Nikizama tena,ile paap kutupa jicho nikaona kuna sehemu meza watu wamejaa kinoma,,nikasogoea,kucheki tu kuna nguo nyingi yani kama zote...Moyo ukasema ndio hapahapa leo patanikoma!!

Mwanaume nikaanza kusagula..sagula,,sagulaaaaa kama dakika 30 mpaka nimebaki peke yangu sijapata kitu,,Kumbe!! bana jamaa mwenye meza yake ananichora tu huku ananitupia nguo cheki na hiyo Dogo,,mara cheki hiyo dogo hadi jamaa kachoka...
Baadae nkamua niache tu kusagula nisepe!,,weee jamaa mwenye meza ya nguo wacha acharuke weee dogo acha UNGESE yani umenishuhurisha lisaa lizima afu now unasema unataka kusepa!..CHEKI NGUO HAPO UNUNUE..Mara wamenijalia nunua nunua nunuaaa kelele kibao...mwanaume nikaone isiwe tabu nikainama tena na kuibuka na nguo kama 7 kwa hasira afu kuwaonesha hela nilikuwa nayo nikaongeza zingine 3..Nikalipa huyoo nikasepa...ASEE KUFIKA HOME ZILE NGUO 6 NI BLAUZI,2 taiti si taiti yani kama za kihindi hivi...na mbili zingine zinamatobo ya panya hata ukienda kwa fundi hakubali kushona...!!!


ASEE MPAKA LEO NIMEAPA SITO KUJA KUSAGULA HATA SIKU MOJA....mwnedo ni Classic Wear tu
 
Nilinunua mtori bunguruni Kwa mnyamani,amini usiamini nilikutana na nyama mbili tu,roho iliniuma hadi keaho

Sent using Jamii Forums mobile app
Nililowahi nunua mishkaki magomen usalama karibu na njuweni...dah! Food poison ten days siend shule....mixer kukaa karibu na toi maana tumbo liliuma si mchezo. Nahsi ilikuwa mishkak ya nyama nyingine sio ng'ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unastahili pole kwakweli nimejikuta nacheka kwanguvu
 
ila una matukio hatar
 
Umenichekesha sana Kuliko wote jaman dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ASEE KUFIKA HOME ZILE NGUO 6 NI BLAUZI,2 taiti si taiti yani kama za kihindi hivi...na mbili zingine zinamatobo ya panya hata ukienda kwa fundi hakubali kushona...!!!
πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…