Ni kitu gani ulichowahi kujuta kukinunua?

Ni kitu gani ulichowahi kujuta kukinunua?

Kununua mafuta ya Ky kumbe yalikuwa yame expire baada ya kupata show ndo naona kweny kichupa... Dah i missed an opportunity.
 
Kipindi kingine miaka ya 2009 niko ndo naingia chuoo nina kama elfu 50 najiona bonge la tajiri na nilikuwa badoo sija anza visanga vya [emoji482][emoji482].

Jamaa zangu wakasema kuwa wanaenda kufanya shopping na mimi nikaungaa sasa kufika town sijuii waliwapigia mademu zaoo wakaja na waoo tukaenda dukani moja kwa moja yale maduka ya classic wearing.

Sasa mmoja wa yule manzi akasema mbona wewe hununuii au umesindikizaa dhaaa!!!!
(Kwa uzuri walikuwa nao na ile kuwa level sawa kama zao)
Nikajikuta na nunua suruali flan matata. Kwa 45 kiukwelii nilikuwa sipo tayariii ila nili nunua.


Kufika ghetto suruari fupiii .

Sita kaa nisahauu na mfukoni nilibakii na 3000 tu

Achaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂
 
TV inch 32 STAR TIMES
ina week mbili tu, kama kuna mtu yupo moshi ani PM nimuuzie ,nimenunua laki 3 na 50


Sent from my iPhone using JamiiForums
Niuzie mie rafiki angu ila nitalipa Yesu akija 😅
 
Back
Top Bottom