Ni kitu gani ulidanganywa kuhusu Mwalimu Nyerere?

Ni kitu gani ulidanganywa kuhusu Mwalimu Nyerere?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Baadhi ya vitu nilivyo danganywa ni:

1. Kifimbo chake akikiweka chini hakuna anayeweza kukinyanyua hata waje watu 50 hawawezi.

2. Alikuwa na kibuyu cha maziwa fresh ambacho aliambiwa siku yakiganda itakuwa mwisho wa maisha yake hivyo mara kwamara alikua anaenda Butiama kuchungulia kama yameanza kuganda au la.

3. Siku 1 wazungu walikuja wakataka kusafiri naye kwenda Ulaya, sasa mzee Kawawa na Mzee Mwinyi wakang'ang'ania kwenda naye, wazungu wakakataa basi akawaambia wazungu kuwa atakaa mwisho wa uwanja, ndege ikianza kupaa atarukia kwenye tairi na kuwaacha kwenye mataa wenzake.

Basi bwana, wazungu wakakubali akaenda kukaa karibu na mwisho wa uwanja, Kawawa na Mwinyi wakamfuata ndege ikaja kwa speed ilivyoanza kupaa Nyerere akarukia kwenye tairi, bila kuchelewa Mwinyi akadaka mguu wa Nyerere na Kawawa akadaka mguu wa Mwinyi, wote watatu wakawa angani.

Mzee Nyerere akahisi hawa jamaa wanamlemea kwa uzito ikabidi atumie akili akawaambia "CCM HOYE" Kawawa na Mwinyi wakainua mikono yao hewani wakajibu "HOYE" wakajikuta ardhini Nyerere akasepa mwenyewe.

Wewe ulidanganywa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilisikia uongo huu nikiwa mdogo nikaamini wakati huo
Nyerere alialikwa London na Queen
Walipokuwa wanakula mzee akawa anakula mpaka mwisho kwenye mifupa ya kuku
Huku Malkia akiwa anashusha Ice cream akamwangalia na kumwambia Nyerere huko kwenu mbwa wanakula nini?
Nyerere akamjibu wanakula ice cream

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hahahahaa, aisee
 
Nyerere ndio alimpa Mkapa Urais na kwa kuwa hakuwa na mke, ikabidi apewe mke wa Mramba (?!!)

Kwamba huyo Anna Mkapa ni mke wa Mramba na yeye Mkapa hakuwa na mke wala mtoto.
 
Mimi nilisikia uongo huu nikiwa mdogo nikaamini wakati huo
Nyerere alialikwa London na Queen
Walipokuwa wanakula mzee akawa anakula mpaka mwisho kwenye mifupa ya kuku
Huku Malkia akiwa anashusha Ice cream akamwangalia na kumwambia Nyerere huko kwenu mbwa wanakula nini?
Nyerere akamjibu wanakula ice cream

Sent from my iPhone using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kubabakee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilisikia uongo huu nikiwa mdogo nikaamini wakati huo
Nyerere alialikwa London na Queen
Walipokuwa wanakula mzee akawa anakula mpaka mwisho kwenye mifupa ya kuku
Huku Malkia akiwa anashusha Ice cream akamwangalia na kumwambia Nyerere huko kwenu mbwa wanakula nini?
Nyerere akamjibu wanakula ice cream

Sent from my iPhone using Tapatalk
Ha ha ha, hiyo inaitwa, akikupiga ngumi ya jicho, na wewe mpige ngumi ya sikio, akikuuliza unaonaje, nawe muulize unajisikiaje.

Nifanyie ujinga, nikufanyie upumbavu!

#HuumchezoHauhitajiHasira
 
Ha ha ha, hiyo inaitwa, akikupiga ngumi ya jicho, na wewe mpige ngumi ya sikio, akikuuliza unaonaje, nawe muulize unajisikiaje.

Nifanyie ujinga, nikufanyie upumbavu!

#HuumchezoHauhitajiHasira

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom