Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

Ulaaniwe, japo siyo vizuri kumlaani mtu lakini kwako yapaswa iwe hivyo. Shetani yupo kwakweli
 
Akili zako πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahyo hao uliowatag ndio Kuni za Bichwa ?
 
28 people are here wakiangalia kipi walijaribu wakazamia mazima.

Nilikuwa nakula binti fulani na tukapendana sana yule dada, bahati kwao palikuwa jirani na nyumbani kwangu. Bahat mbaya zaid mama yake akawa hapend yule bint aje kwangu, nasema hatak nisije muharibia watoto. Siku moja binti kasafiri yule mama akaja kuomba kitu pale kwangu, nikasema huyu maza ananiharibiaga mwa binti ngoja nimzingue nimpige moto. Akalegeza akapigwa asee toka kipindi hicho najikuta sina adabu kwa mama za wapenzi zangu.
 
Kuna jamaa kipindi tunasoma ilikua njia ya kwenda shule ni karibu na maskani moja ya wahuni wanachoma ganja kinoma sasa kila tukifika pale yule mwanangu akawa anasimama siku moja nikamuuliza kwanini huwa unasimama kwa wale jamaa wanaovuta kaya? Akasema anapenda sana ile harufu ya mmea, nikamuuliza unatamani kuvuta? akakataa balaa akasema hatamani hata kidogo ila anapenda harufu yake.

Basi baada ya kumaliza OL kila mmoja akatawanyika mawasiliano yakakatika kati yetu juzi kati nimeonana nae mwana kabadilika sana hadi moyo wangu ulijaa huzuni stori zake kama amedata ila ni mtaalamu wa kuchoma pizza kinoma huwa anaitwa kufanya kazi kwenye Mall flani lakini ukimuona tu unajua huyu bange imeshamuharibu na alianza kupenda harufu.
 
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakumbuka ck moja nlkw kitandani kipindi cha baleh nashika shika mborow yangu ghafla nikasema wait...... Naskia faraja na karaha flan katika kuendelea mara wazungu awoo.......
Aloo Toka cku hiyo nikawa mwanachama kindakindaki WA CHAPUTA
Imenisaidia sana kuepukana na hawa dada zetu wanao ringa na wapenda hela
 
Bro na ulokole wako wote,umeshindwa kumwambia Mungu akusaidie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…