Ni kitu gani ulikijaribu kwa lengo la kutesti mara moja ila kimekuingiza kwenye shimo la uraibu/addiction unatamani kutoka lakini unashindwa?

Kuzaa aseee,,nko 26 yrs nna watoto 4 na nna mimba, nmeambiwa mapacha
Mwanzo nilikua kama wewe napenda kuzaa, ila sijui umri mkubwa mimba ya mtoto wangu wa nne imejua kuninyoosha nikikaa nahisi kufa kufa…..mapigo ya moyo yananienda mbio tumbo zito yaani nimekoma🙌🏿🙌🏿🙌🏿sitaki tena hizi habari za kuzaa…natamani nijifungue hata kesho
 
Apo sasa utulie kwakwel,,hao wa 4 wanatosha wasije wakakukosa,, uzazi wa sasa uheshimiwe sana, ukiona tu dalili mbaya jihadhari,,ila hongera na umalize safari na kujifungua salama,,Amina 🙏🏾
 
Mwaka 2013 namaliza form six njombe secondary (njoss), nilifanya upuuzi wa kujaribu kuvuta embassy baada ya kunywa pombe, kimsingi nilijisikia vizuri Sana, had Leo hii nikinywa pombe lazima nivute embassy.

Nisipo kunywa pombe sitaki hata kusikia harufu ya Moshi wa sigara yoyote. Bila pombe siwezi vuta sigara na hata sitamani.

NB; natamani nikinywa pombe nisivute fegi
 
Shkamoo mkuu,,naanza fomu wani pale Joseph mbeyela matarawe we upo six,, heshima yako mkuu,, ningejua ningekuja kukupa hai
 
eti zile story zilkua za kwel 😂,, naskia enzi izo mlikua mnakamata vibinti vikijipitisha
Hapana sio kweli ni story tu hizo, wakati huo njoss ukivaa uniform ukaingia mtaani na kumsemesha binti yeyote kutoka shule yoyote ile ilikuwa ni rahisi Sana kumpata,

Anyway huenda sijui maana Hadi namaliza njoss nilikuwa na jamaa zangu wawili tu wanaojua nakunywa pombe, nilikuwa mtu mwema Sana.
 
Basi itakua ni miaka ya nyuma tena,, uzur bado ipo inapeta tu
 
Back
Top Bottom