Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Nilivyoanza kazi bwana kila weekend utanikuta kwenye expensive restaurants naenda pale kufanya kazi na kujaribu news dishes as a way ya kujipongeza baada ya wiki nzima kuwa kazini.
Wee baada ya utu uzima kuhit vizuri na familia yangu kuona naweza kujitegea mambo yakageuka yaani sasa hiv hakuna cha restaurant wala nini ni mwendo wa kupika kwangu na kufanya kazi zangu.