Ni kitu gani ulikuwa unakipenda lakini ulilazimika kukiacha kwa sababu ya hali yako ya Kiuchumi?

Ni kitu gani ulikuwa unakipenda lakini ulilazimika kukiacha kwa sababu ya hali yako ya Kiuchumi?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Nilivyoanza kazi bwana kila weekend utanikuta kwenye expensive restaurants naenda pale kufanya kazi na kujaribu news dishes as a way ya kujipongeza baada ya wiki nzima kuwa kazini.

Wee baada ya utu uzima kuhit vizuri na familia yangu kuona naweza kujitegea mambo yakageuka yaani sasa hiv hakuna cha restaurant wala nini ni mwendo wa kupika kwangu na kufanya kazi zangu.
 
Nikiwa na miaka 25+ nilikua na utaratibu wa kutomba kumer mpya kila weekend coz hela nilikua nayo maana nilibahatika kupata Ajira mapema sana mara tu baada ya kumaliza chuo.

Kwa haraka haraka body count yangu mpaka sasa inasoma 60+


Now nimeacha natafuta mke nioe nitulie.
Mwanamke mwenye umri wa miaka 25+ akuje PM tuyajenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutembelea watu wenye uhitaji kufurahi nao na kula pamoja. Kwani ni moja ya kuonyesha hofu ya mungu kama Dr. Mengi🙏🏾
 
Back
Top Bottom