Ni kitu gani ulipitia katika utafutaji kazi hutosahau?

Utasikia eti nipe umbea kusema ukweli kufanya kazi na wanawake unahitaji uwe na moyo binafsi ishanitokea ingawaje Mimi sikuombwa ngono Ila Kuna namna Fulani yule demu Kama alinielewa hivi Ila mi nikaona hamna nawezaje kuwa na mahusiano na mke wa mtu Cha ajabu eti ameweka kinyongo na mimi mpaka leo
 
Pole sana hali inakuwa siyo hali kabisa ni kipindi kigumu mno.
 
Hahahaha.wazee wa kula kimasihara wasingechomoka
 
Hapa sasndio mjifunze nyiny m hapa sasa ndio mjifunze nyinyi ambao hamtak kaz za serikalin, Sio kwmb serikalin kuna hela sana, hapana, ila serikalin watu wanafata uhakika wa mshahar kila mwish wa mwez na usalama wa kibarua chako.
 
Mkuu ulipata kazi sehemu nyingine au ulikuwa na uhakika
 
Kuna kipindi 2018 nilikuwa sina kazi nikaomba kazi kwa mafundi barabara za mtaa .

Usijaribu kuna baadhi ya kazi ni mateso
Kazi ambayo unatumia nguvu haijawahi kuwa nyepesi lakin pamoja na hayo tusichoke kupambana pesa ya mwenzio kuifanya kuwa ya kwako sio kazi nyepesi
 
Ofisi ikishajaa wanawake tayari ni risk sana. Tena sana.. I'm speaking from my experience
 
Kwenye ufugaji wa kuku sikuwah kuona faida ila UFUGAJI WA NGURUWE kdg nashika hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…