Huyo binti hukumpenda tu, sijaona kosa la huyo binti kukwambia hivo, labda kama alikuwa na mapungufu mengine ya kitabia ambayo siyajui cc2500Alinambia niuze gari yangu il nipate mahari nimuoe(in my mind nkasema hiv huyu mse**) mimi gari ndy my fav nikiwa na stress na drive mbali zinaisha, so kila akiwa anauliza umefikia wapi lile swala namzuga kuwa wateja wote hawafiki bei nayotaka, it was 2017/8
Huyo wivu unamsumbua,,ulionyesha ugaigai akapagawa,Sasa hataki wenzie waone
Dah umenikumbusha kuna ex wangu alikua anapenda singeli mno hadi mama yake. Akishika simu ni singeli kuna nyimbo ya mzee wa bwax inaitwa mzuka sijui, alikua anaipenda mno.
😂😂 mnapenda singeli kuliko kulaSingeli tamu, ina vibe kinoma.
Sisi ma miss buza bora tukose kula ila sio vibe la singeli.
Analikuwa anakutaka ubaya huyo🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]na mimi nikamwambia “usinichezee”.
Wanaanza kwa marafiki badae anaenda mpka kwa ndugu zakoKuna demu wangu wa kando huwa anapenda kunipangia marafiki wa kuwa nao. Nshamwambia ni ngumu kunizuia kutoongea na rafiki ninaemhitaji.
Ni kweli braza, anajaribu kukuzuia kumbe ni mtu wake.Wanaanza kwa marafiki badae anaenda mpka kwa ndugu zako
Na wewe kichwa kina chogo🤣🤣🤣🤣Alinikataza kusuka...eti anapenda mademu wenye vipara
Alafu wanawake wa jf bwana...wher do u get this men from🤣🤣🤣🤣Ubahili tu,hata kutoa kwenye hajaanza kaingia na Sheria zake 🤣🤣🤣
Hongera kwa kutunza penzi[emoji28]siiku utashangaa umebamba na girl mwingine midomo inameremeta kwa lipstic[emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hata kimoja nayapenda na nikinnua mwezi hauishi nshafanya tambalaMe ndio vazi langu kubwa kwenye mitoko toko isiyo maalum
Umemalizaaa!!Alinikataza nisivae suruali za kitambaa au cardet na viatu vya kupiga kiwi. Nisiwe nanyoa level moja.
Alitamani niwe navaa t-shirt na jeanz na raba, kichwani niwe nanyoa pembeni naachia kidogo juu, au ikiwezekana niwe nazinyongorota virasta. Ndevu niziachie kama za kina Rick Ross, na niwe naenda gym kujaza body. Hivyo vingine nilishindwa ila alinifanya niwe napiga tizi na mpaka sasa nashukuru mazoezi yamekua sehemu ya maisha yangu. Ingawa mm na yule binti hatukuweza kufika mbali.
Nilichogundua, hawa masista duu wanawaadmire sana hawa mabishoo wanaojiweka namna hiyo (ingawa midomoni wanaonyesha kuwaponda). Kibaya zaidi wengi wao future hawana. Ndio maana wanaishia kua single mothers tu.
Na itakuwa ulikuwa unamwaga uno ndio akapendaMimi alinikataza nisiwe nasikiliza singeli wala kucheza. Akasahau siku ya kwanza kuniona aliniona nacheza singeli ndio akanipenda[emoji57][emoji57]