Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?

Ukilinganisha nlikua singo mda mref picha za warumi zilikua nyingi sana kwenye cm
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nitakufwaaa mwenzio nishazoea kuangalia vimbwanga vya jf
Utafutiliwaa mbaliii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alinambia yeye ana marafiki wengi wa kiume ko nikiona anakumbatiwa na mwanaume au anatumiwa sms za mahaba nisiwe na wivu na mtu akiniuliza kama tunadate nikatae kabisa mapenzi yetu yawe ya siri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niache kuvuta bangi...aisee.

Nilimfikiria sana kwamba huyu malaya ni gani, halafu hajui huko nyuma nilishamiliki wanawake wazuri zaidi yake, walijua nakula weed na walinipenda sana.

Nikamuacha yeye.
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukulia je?
Kupangiwa Nini na Nini nisifanye Tena kwa kunikoromea.

Nikamjibu: mtafute mtu wa kumpelekesha Ila sio Mimi πŸ˜‚πŸ˜Š

Ni zamani Sanaa kipindi nipo kwenye harakat za ujana.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…