Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Mimi mchaga wangu tukikaaga sehemu akapita mdada mwenye mitako lazima anishtue tuanze kulitazama na kulijadili [emoji1][emoji1][emoji1]Mimi asee nilikatazwa kusmile kwa mdada yoyote, nisimsifie mdada yoyote akiwa kapendeza na kubwa kuliko muda wote nitakao kuwa free basi yeye atakua pembeni yangu...
Asee niliushindwa mtihani kabisa, ingawa yule mrembo nickname yake ilikua ni "Mishepu"
Kuandamana na mbebez kila sehemu siwezi kuna muda nataka niwe peke yangu asee.