Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
- Thread starter
- #21
Mama Kizimkazi, toto la Kizanzibari, toto jeupe pee, toto lina sura laini, toto limeumbwa likaumbika. Mama Kizimkazi ataua watu 😁😁Nampenda sana mama Kizimkazi, yaani nikimwona tu kwa picha hata kama nilikuwa nakula basi nakiacha chakula na kumkaribia kumwona wallah