Ni kitu gani unapenda kuhusu Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Nampenda sana mama Kizimkazi, yaani nikimwona tu kwa picha hata kama nilikuwa nakula basi nakiacha chakula na kumkaribia kumwona wallah
Mama Kizimkazi, toto la Kizanzibari, toto jeupe pee, toto lina sura laini, toto limeumbwa likaumbika. Mama Kizimkazi ataua watu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Napenda vile ambavyo nikipanda usafiri wa umma kutoka Mbezi hadi Posta, njiani mnapiga story basi zima utadhani mnafahamiana. Ukifika mjini kila mtu anashuka kwenda mishe zake.

Niambie kama huko Marekani na ulaya unaweza kupata watu wa kukusaidia kupunguza msongo kama watanzania๐Ÿ˜…
 
Wabongo hata kwenye mabasi ya mikoani haijalishi ni vijana, au wazee wao wakikutana na rika lao ni kupiga story tu. Stress ni mpaka ujitakie ๐Ÿ˜
Kiukweli Tanganyika ina tamaduni zenye upendo sana. Wabantu wa huku Tanzania bara wana utamaduni mzuri wa kumwona kila mtu kama ndugu/rafiki yako hata kama hamjuani
 
Naipenda Tanganyika na si Tanzania mkuu ๐Ÿ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ