Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Kweli ni kama utaahira asee, basi mtu akiwa anaimba imba hivo nadhani akili yake inamwambia ",go beyonce go" 🀣🀣🀣🀣
Mimacho wanavyoitoa na midomo wanavyofanya huwa najiuliza mpaka nakosa majibu. Alafu unakuta Mtu ni kuanzia 27mpaka 30 anakuwa na mambo hizo. Huwa zinakera sana
 
Kupaka lipstick
Kukaa bila kuimba
Kwenda kwa watu kuongea
Kupokea hovyo namba ngeni
Kuvaa nguo fupi iliyopita magoti
Kuomba hela hovyo kwa watu
Kupitisha siku bila kula ugali
πŸ˜‚πŸ˜‚ tuliaaa wewe na hapo hujajipata? Ama umeacha kutuma CV πŸ˜†πŸ˜†

Khee kuna picha ulipost selfka umevaa gauni fupi 🀣🀣 au sii ww yule
 
Kushinda njaa ni usiku huu ni ujinga mwingine ntakufa bila kufanya...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Pinga ukatili wa kunyima watu kula Zanzibar...
 
Sipendi kuombwa hela na mwanamke once tu ninapo mfuata au kunijengea mazingira ya kuniomba hela kama kunilalamikia shida.

Huwa napoteza m nae hapo hapo na kutomtafuta tena.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ tuliaaa wewe na hapo hujajipata? Ama umeacha kutuma CV πŸ˜†πŸ˜†

Khee kuna picha ulipost selfka umevaa gauni fupi 🀣🀣 au sii ww yule
Sijajipata
Kapuku mmoja tu mimi 😁

Itakuwa nilipigia tu picha
Lakini mtaani huwezi kunikuta hivyo.
Napata wapi nguvu za kuvaa min,kwa miguu gani?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ tuliaaa wewe na hapo hujajipata? Ama umeacha kutuma CV πŸ˜†πŸ˜†

Khee kuna picha ulipost selfka umevaa gauni fupi 🀣🀣 au sii ww yule
Jamii forums ni kubwa mno, Mtu anafanya kituko kule anakimbilia kwingine anajifanya ni Mtu safi, kumbe Kuna Maspy huwa wanafuatilia kila hatua 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…