Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Mbona unazidi kuchanganya watuNimeedit Mkuu
Nilitaka kumaanisha kuwa ni changamoto kuvaa nguo fupi inayopita magotini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unazidi kuchanganya watuNimeedit Mkuu
Nilitaka kumaanisha kuwa ni changamoto kuvaa nguo fupi inayopita magotini
Nimekuchanganya na nini mkuu?Mbona unazidi kuchanganya watu
yameisha my dear.Nadhani hujasoma comment… nimeandika nilikuwa nashuka ngazi. Kutembea umeitoa wapi Malkia?
Mimacho wanavyoitoa na midomo wanavyofanya huwa najiuliza mpaka nakosa majibu. Alafu unakuta Mtu ni kuanzia 27mpaka 30 anakuwa na mambo hizo. Huwa zinakera sanaKweli ni kama utaahira asee, basi mtu akiwa anaimba imba hivo nadhani akili yake inamwambia ",go beyonce go" 🤣🤣🤣🤣
Nmecheka ulivozingatia swala la umri pia....🤣🤣 27-30 mama mtu mzima kabisa, possible ningekua chini ya umri huo labda ningeweza, labda.Evelyn Salt Kipi kikuchekeshacho ina maana comment yangu ni ushubwada ?🥴
Yaani hiyo michezo ifanywe na Mabinti umri usizidi 22 kabisaNmecheka ulivozingatia swala la umri pia....🤣🤣 27-30 mama mtu mzima kabisa, possible ningekua chini ya umri huo labda ningeweza, labda.
😂😂 tuliaaa wewe na hapo hujajipata? Ama umeacha kutuma CV 😆😆Kupaka lipstick
Kukaa bila kuimba
Kwenda kwa watu kuongea
Kupokea hovyo namba ngeni
Kuvaa nguo fupi iliyopita magoti
Kuomba hela hovyo kwa watu
Kupitisha siku bila kula ugali
Pure RCUtakuwa msabato wewe [emoji16]
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sijajipata😂😂 tuliaaa wewe na hapo hujajipata? Ama umeacha kutuma CV 😆😆
Khee kuna picha ulipost selfka umevaa gauni fupi 🤣🤣 au sii ww yule
Umenifurahisha kwa avatar ya safari hapo, uko wapi hii long weekend tugide mkuu??Mwanaume Kusherehekea birthday party
Habari za jioni Mwenyekiti Beyonce🤣🤣🤣🤣Kweli ni kama utaahira asee, basi mtu akiwa anaimba imba hivo nadhani akili yake inamwambia ",go beyonce go" 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Utanifanya nianze kujisnap huku naimba nageuza geuza mdomo na shingoHabari za jioni Mwenyekiti Beyonce🤣🤣🤣🤣
Aaaaah kwenu kuna wakubwa eeh???🤣🤣🤣Nimeedit Mkuu
Nilitaka kumaanisha kuwa ni changamoto kuvaa nguo fupi inayopita magotini
Jamii forums ni kubwa mno, Mtu anafanya kituko kule anakimbilia kwingine anajifanya ni Mtu safi, kumbe Kuna Maspy huwa wanafuatilia kila hatua 🤣🤣🤣😂😂 tuliaaa wewe na hapo hujajipata? Ama umeacha kutuma CV 😆😆
Khee kuna picha ulipost selfka umevaa gauni fupi 🤣🤣 au sii ww yule
Hakikisha unageuza na macho kama unakata roho; mwana-amapiano🤣🤣🤣🤣🤣 Utanifanya nianze kujisnap huku naimba nageuza geuza mdomo na shingo
Kwahiyo humu JF hakuna wakubwa ? Mbona Selfika kule Kuna picha yake tata 😂😂😂Aaaaah kwenu kuna wakubwa eeh???🤣🤣🤣