Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Kunywa Pombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu wote tunalingana umri. Picha gani hiyo tata? Mimi ndiyo mkubwa wake huku nyumbani; siwezi mruhusu kutoka na nguo tata,hadi na yeye awe mkubwa kama mimi 🤣🤣Kwahiyo humu JF hakuna wakubwa ? Mbona Selfika kule Kuna picha yake tata 😂😂😂
Sasa kwanini hupendi kupokea namba ngeni? Labda kama uwe umeweka vyeti chini ya godoro, otherwise utakuja kupishana na gari ya mshahara.Sijajipata
Kapuku mmoja tu mimi 😁
Itakuwa nilipigia tu picha
Lakini mtaani huwezi kunikuta hivyo.
Napata wapi nguvu za kuvaa min,kwa miguu gani?
Humu hamna kichaka cha kujifichia 😂😂😂😂Jamii forums ni kubwa mno, Mtu anafanya kituko kule anakimbilia kwingine anajifanya ni Mtu safi, kumbe Kuna Maspy huwa wanafuatilia kila hatua 🤣🤣🤣
Kwetu wakubwa wapo😂😂😂😂Aaaaah kwenu kuna wakubwa eeh???🤣🤣🤣
Mkuu itakuwa unatembea kwa MIKONOKuvaa pensi na kutoka kuzurura Public
Nina phobia na namba ngeniSasa kwanini hupendi kupokea namba ngeni? Labda kama uwe umeweka vyeti chini ya godoro, otherwise utakuja kupishana na gari ya mshahara.
😂😂 yaan huvai? Na bado ukavaa kupigia picha? Wee em nishushe hapo 😂😂😂😂😂
We hutujui wameru na miguu yetu, na bado short dresses ndio vazi pendwa.
Mkuu mimi nina kiganja cha kibepari lazima vidole vikutane hadi kupandiliana. Bado hizo fito ngaziona kama za Marabou StorkSio fito bana, sehemu ya chini karibu na ankle ukiishika kwa mkono huwezi kukutanisha vidole.
Ebu kadiria hiyo circumference
Hiyo siipendi sijui inamaanishaga niniKupost vijembe whatsapp....mtu akipost vijembe aibu huwa naona mimi, kugombana kidogo wasapu mie siwezi!!!
Kujirekodi rekodi unaimba imba vinyimbo huku unafinya finya na kulamba midomo kisha kupost sijawahi na siwezi na huwa nashangaa wanaoweza wanawezaje
Kweli ni kama utaahira asee, basi mtu akiwa anaimba imba hivo nadhani akili yake inamwambia ",go beyonce go" 🤣🤣🤣🤣
Kumbe mtu kutopendelea nguo fupi ni kujifanya msafi?Jamii forums ni kubwa mno, Mtu anafanya kituko kule anakimbilia kwingine anajifanya ni Mtu safi, kumbe Kuna Maspy huwa wanafuatilia kila hatua 🤣🤣🤣
Aah ujinga bana, kuna mtu kajipost hapa agrrr basi tu ngoja nisiingilie uhuru, ningeweka hapa uone kituko😂😂😂😂😂
Eti go Beyonce
Ila kuna watu wanapendeza wakijisnap
Wana pozi kalikali ,mi huwa napenda sana kwa kweli kuangalia..
Halafu hata wanaume pia huwa wanaimba mbona
Wengine sasa ni vituko
Wanaoniacha hoi wale wanapeleka video Inakimbia fastaaa sijui huwa wanafanyaje Ile ,midomo inaenda mbio.
Weka tuone🤣🤣🤣Aah ujinga bana, kuna mtu kajipost hapa agrrr basi tu ngoja nisiingilie uhuru, ningeweka hapa uone kituko
Kujipulizia marashi, nimejaribu nimeshindwa
Sasa huyo umemuona? Mambo ya ovyo hayo🤣🤣🤣Evelyn Salt 😂😂😂😂😂😂😂
Mambo ya classmate wangu haya 😂😂😂😂😂😂😂
Sema mm napenda wanapendeza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanaswaga wanajiita wenyewe..
Na ukiwaambia watakuambia fuata mambo yako😂😂😂
Kumpiga mtu kwa sababu anakula mchana na mimi nimefunga.Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
Kupost vijembe whatsapp....mtu akipost vijembe aibu huwa naona mimi, kugombana kidogo wasapu mie siwezi!!!
Kujirekodi rekodi unaimba imba vinyimbo huku unafinya finya na kulamba midomo kisha kupost sijawahi na siwezi na huwa nashangaa wanaoweza wanawezaje