Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Sijajipata
Kapuku mmoja tu mim
i 😁

Itakuwa nilipigia tu picha
Lakini mtaani huwezi kunikuta hivyo.
Napata wapi nguvu za kuvaa min,kwa miguu gani?
Sasa kwanini hupendi kupokea namba ngeni? Labda kama uwe umeweka vyeti chini ya godoro, otherwise utakuja kupishana na gari ya mshahara.

😂😂 yaan huvai? Na bado ukavaa kupigia picha? Wee em nishushe hapo 😂😂😂😂😂

We hutujui wameru na miguu yetu, na bado short dresses ndio vazi pendwa.
 
Jamii forums ni kubwa mno, Mtu anafanya kituko kule anakimbilia kwingine anajifanya ni Mtu safi, kumbe Kuna Maspy huwa wanafuatilia kila hatua 🤣🤣🤣
Humu hamna kichaka cha kujifichia 😂😂😂😂
 
Sasa kwanini hupendi kupokea namba ngeni? Labda kama uwe umeweka vyeti chini ya godoro, otherwise utakuja kupishana na gari ya mshahara.

😂😂 yaan huvai? Na bado ukavaa kupigia picha? Wee em nishushe hapo 😂😂😂😂😂

We hutujui wameru na miguu yetu, na bado short dresses ndio vazi pendwa.
Nina phobia na namba ngeni
Siwezi kupishana nalo
Huwa ikipiga nacheck fasta sana jina.

Kwani wewe hujawahi pigia picha nguo na ukaiweka?
Shuka tu mdogo wangu
Vile vigauni vipo kama nilivyovinunua..
Akipita Lizzy nitamgawia tu maana havina faida kukaa ndani.

Wapo Wameru Wana miguu mizuti tu mbona
Sisi wengine wenye spoko kwa kweli ni hatari.
 
Sio fito bana, sehemu ya chini karibu na ankle ukiishika kwa mkono huwezi kukutanisha vidole.

Ebu kadiria hiyo circumference
Mkuu mimi nina kiganja cha kibepari lazima vidole vikutane hadi kupandiliana. Bado hizo fito ngaziona kama za Marabou Stork
 
Kupost vijembe whatsapp....mtu akipost vijembe aibu huwa naona mimi, kugombana kidogo wasapu mie siwezi!!!

Kujirekodi rekodi unaimba imba vinyimbo huku unafinya finya na kulamba midomo kisha kupost sijawahi na siwezi na huwa nashangaa wanaoweza wanawezaje
Hiyo siipendi sijui inamaanishaga nini
 
😂😂😂😂😂
Eti go Beyonce

Ila kuna watu wanapendeza wakijisnap
Wana pozi kalikali ,mi huwa napenda sana kwa kweli kuangalia..
Halafu hata wanaume pia huwa wanaimba mbona
Wengine sasa ni vituko

Wanaoniacha hoi wale wanapeleka video Inakimbia fastaaa sijui huwa wanafanyaje Ile ,midomo inaenda mbio.
Kweli ni kama utaahira asee, basi mtu akiwa anaimba imba hivo nadhani akili yake inamwambia ",go beyonce go" 🤣🤣🤣🤣
 
Jamii forums ni kubwa mno, Mtu anafanya kituko kule anakimbilia kwingine anajifanya ni Mtu safi, kumbe Kuna Maspy huwa wanafuatilia kila hatua 🤣🤣🤣
Kumbe mtu kutopendelea nguo fupi ni kujifanya msafi?
Aloo😂kwani kuna tuzo ya kupretend usafi hadi tufanye hivyo?
Mkuu,wengine hatuzipendi kwa sababu tuna miguu mibaya..hatuna miguu ya kuzivalia hizo nguo na kutoka nazo.

Maspy gani hao wanaochunguza mambo yaliyo wazi?
Halafu kule selfika kwetu sisi ni burudani tu kutupia mapicha na wala siyo kituko kama usemavyo...
Hata huyo uliyemquote na wengine wengi tupo pamoja tangu mwanzo wa uzi.
 
😂😂😂😂😂
Eti go Beyonce

Ila kuna watu wanapendeza wakijisnap
Wana pozi kalikali ,mi huwa napenda sana kwa kweli kuangalia..
Halafu hata wanaume pia huwa wanaimba mbona
Wengine sasa ni vituko

Wanaoniacha hoi wale wanapeleka video Inakimbia fastaaa sijui huwa wanafanyaje Ile ,midomo inaenda mbio.
Aah ujinga bana, kuna mtu kajipost hapa agrrr basi tu ngoja nisiingilie uhuru, ningeweka hapa uone kituko
 
Evelyn Salt 😂😂😂😂😂😂😂
Mambo ya classmate wangu haya 😂😂😂😂😂😂😂

Sema mm napenda wanapendeza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanaswaga wanajiita wenyewe..
Na ukiwaambia watakuambia fuata mambo yako😂😂😂
 
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
Kumpiga mtu kwa sababu anakula mchana na mimi nimefunga.
 
Kupost vijembe whatsapp....mtu akipost vijembe aibu huwa naona mimi, kugombana kidogo wasapu mie siwezi!!!

Kujirekodi rekodi unaimba imba vinyimbo huku unafinya finya na kulamba midomo kisha kupost sijawahi na siwezi na huwa nashangaa wanaoweza wanawezaje
images (8).jpeg
 
Back
Top Bottom