Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Haya mambo haya .Cha kunifanya niwe desperate ni kipi sasa hapo??
Simu siweki protector sbb linakuwa lizito
Sisuki sbb short hair looks cute more than misuko
Siwezi kukaa bila bando
Sivai long dresses
Simu kuitumia muda mrefu naichoka.
So hapo cha kufanya niwe desperate ni kipi hapo? Au mkuu huijui huo msamiati unamaanisha nini?
Jamani 😂😂Haya
Haya mambo haya .
Ndiyo maana mimi tukikosana ukataka nikimbie ugomvi wewe anza kuchanganya kingereza na kiswahili nakuachia uwanja maana najua haukawii kuniumbua bure
Michango ya kuoa,kuolewa ama michango ya sherehe.Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?