Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Haya
Cha kunifanya niwe desperate ni kipi sasa hapo??


Simu siweki protector sbb linakuwa lizito
Sisuki sbb short hair looks cute more than misuko
Siwezi kukaa bila bando
Sivai long dresses
Simu kuitumia muda mrefu naichoka.

So hapo cha kufanya niwe desperate ni kipi hapo? Au mkuu huijui huo msamiati unamaanisha nini?
Haya mambo haya .
Ndiyo maana mimi tukikosana ukataka nikimbie ugomvi wewe anza kuchanganya kingereza na kiswahili nakuachia uwanja maana najua haukawii kuniumbua bure
 
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
Michango ya kuoa,kuolewa ama michango ya sherehe.
 
Kuw na instagram
Kujirecord naimb umba hovyo cwez
Kuwapenda wanaume wanaosuka vinywele kama mchicha
Kwenda beach kam ka group alf mnakuwa sex tofauti
Kuwa na SHOBO😜😜
 
Back
Top Bottom