saaanaNina sket 2. Zile za marinda madogo dogo π€£π€£π€£π€£ nikizimiss navaa
Kuna vitu ni vigumu et
Mhhh ina maana humu wote mnapenda kuliwa tigo
Mitandao mingine haishiki angalau TigoMhhh ina maana humu wote mnapenda kuliwa tigo?
si ndo hapoKwahiyo hamtaki tuimbe
ππππππKuvaa nguo ndefu π nishawahi kudondoka. Nilikuwa nashuka ngazi, nikajikanyaga nikateleza. Tokea pale sijawahi rudia kuvaa/ kumiliki nguo ndefu π€£
Watuache watoto π€£π€£π€£si ndo hapo
Huu ni Uma....πni kam mimi na kuvaaa sketi ππkwanza sina
yale marinda ukipiga pasi na pasi ya mkaa unanyunyizia na maji yananyookaaaa mbaya sana dah πNina sket 2. Zile za marinda madogo dogo π€£π€£π€£π€£ nikizimiss navaa
Kuna vitu ni vigumu et
umakiniπHuu ni Uma....π
Hiyo weed ya Jamica kbsπ€πKua na Mpenzi[wa dhati]
Wamekukosea nnKuangalia Movie zilizotafsiriwa, au zile zinazooneshwa DSTV.
Kwenda bar mida ya usiku afu mtu anakunywa juice huwa nashangaa.
Kupaka ile super black
Pia nawashangaa wale unamkuta kavaa kipensi kifupi halafu kimebana afu unakuta mnene na kitambi duuuh
Wanaovaa Air max
ππππkwa kweli watuache mi siwezi acha kujisnapπWatuache watoto π€£π€£π€£
Kutomb* Demu , Unshuulika Yeye yupo kama Goggle Ashuuliki STIMU HUWA LINAKATAKuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
sasa cm yako si itakua imelowana crecks imepasuka pasuka ukiwa unatype au kutizama picha na video si mpaka uizogeze karibu kabisa na macho πKuweka protector kwenye simu. π khee hamnipati hapo, cover lenyewe najitahidi sbb mashost wananinanga sana
Unakuta kijana wa kiume kakomaa maandalizi ya birthday party. Kaandaa Champaign, bia kibao na keki. Halafu videmu vya marafiki kibao. Ushoga huoπππMwanaume Kusherehekea birthday party
Haina hata mchubuko sasa,, siko careless piasasa cm yako si itakua imelowana crecks imepasuka pasuka ukiwa unatype au kutizama picha na video si mpaka uizogeze karibu kabisa na macho π