Superintendent kimura
JF-Expert Member
- Feb 24, 2023
- 333
- 1,316
Kula kitimoto na chips
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kitu ambacho siwezi kufanya ni ile kutamani au kuona wivu kwa ajili ya Mtu fulani. Siwezi kufanya kabisa maana haya maisha yana mambo mengi sanaKuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
😂😂😂😂jamaniNilipo highlight red hapo yaani hii ni tabia ya Mabinti wengine anaji snap au anatengeneza video TikTok huku anaimba nyimbo za Mbosso au za kuitamani ndoa huwa nawashangaaga sana. Alafu hiyo anayefanya hivyo ni graduate kabisa
niliona jamaa moja anatafuna ice cream ya ukwaju kwa daladala, dah ni kama vile anafuna chupa, halafu meno yakiganzi anapose kidogo.. mpaka yapate moto kwanza anang'ata tena 🐒Nagonga vizuri km niko na shoga angu au niko na mtu. Alone siwezi 😂
Yaani huwa nashindwaga kuelewa sijui ni depression au huwa wanatamani kuwa wasanii 😂😂😂😂😂😂😂jamani
ni kam mimi na kuvaaa sketi 😂😂kwanza sinaKuvaa nguo ndefu 🙈 nishawahi kudondoka. Nilikuwa nashuka ngazi, nikajikanyaga nikateleza. Tokea pale sijawahi rudia kuvaa/ kumiliki nguo ndefu 🤣
Uoga wako ndio umaskini wako. Jamaa asingewazingatia kabisaa amalize askrimu yakeniliona jamaa moja anatafuna ice cream ya ukwaju kwa daladala, dah ni kama vile anafuna chupa, halafu meno yakiganzi anapose kidogo.. mpaka yapate moto kwanza anang'ata tena 🐒
mie mbavu sina nashindwa kujizuia kucheka🤣
namcheki jamaa anapambana iishe haraka ni kama kajishtukia watu wote walikua wanamcheki ..
😂😂 Mburuzo ukakuburuzaKuvaa nguo ndefu 🙈 nishawahi kudondoka. Nilikuwa nashuka ngazi, nikajikanyaga nikateleza. Tokea pale sijawahi rudia kuvaa/ kumiliki nguo ndefu 🤣
ni mapenzi tu ya wimbo 😂😂😂Yaani huwa nashindwaga kuelewa sijui ni depression au huwa wanatamani kuwa wasanii 😂😂😂
Nina sket 2. Zile za marinda madogo dogo 🤣🤣🤣🤣 nikizimiss navaani kam mimi na kuvaaa sketi 😂😂kwanza sina
Kwahiyo hamtaki tuimbeYani mtu analamba lamba mdomo anabinua binua macho anapost.....aseee hata na hela mie hicho kitu hapana, sijawahii siweziiii
jamaa alishindwa kabisa kuinyonya akawa anaing'ata, nilicheka sana siku ile dah🤣Uoga wako ndio umaskini wako. Jamaa asingewazingatia kabisaa amalize askrimu yake
Si mwende studio, mnafanya watu tuone aibu buana yani unaimba wewe aibu inanishika mieKwahiyo hamtaki tuimbe
Kuangalia Movie zilizotafsiriwa, au zile zinazooneshwa DSTV.Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?