eldamaty_persier
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 118
- 285
- Thread starter
- #101
Em kasikilize wimbo wa rara' by rayvannyKutomb* Demu , Unshuulika Yeye yupo kama Goggle Ashuuliki STIMU HUWA LINAKATA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Em kasikilize wimbo wa rara' by rayvannyKutomb* Demu , Unshuulika Yeye yupo kama Goggle Ashuuliki STIMU HUWA LINAKATA
Ofcoz,Kupost status kwenye social media, inayonihusu...ngumu sana kwangu!
Public notice😂Unakuta kijana wa kiume kakomaa maandalizi ya birthday party. Kaandaa Champaign, bia kibao na keki. Halafu videmu vya marafiki kibao. Ushoga huo😂😂😂
Ndiyo maana mara zote nakuona uko na low cut.Kusuka 🤣😂
Kukopa Salio mitandao ya simu🤌😂😂Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
Mimi nikiona hivyo hata siview hiyo statusHii kitu daa😣
Bora nimwage Weed toka Jamica mpaka Chuga na nianze okota moja moja kuliko kumiliki Mpenz.Hiyo weed ya Jamica kbs🤌😂
Salio la muda wa maongezi au songesha 🤣Kukopa Salio mitandao ya simu🤌😂😂
Mbona uko desperate sana maanake naona kila kitu hupendi na hutaki.Kukaa na simu 1 zaidi ya 2yrs 🙁 nafilisika mwenzenu sekta hiyo
Ahahah umetisha Madam.umakini😂
kuvaa manguo yakuchanika
Salio la muda wa maongezi au songesha
Tena usiombe kudaiwa na Airtel 😂Salio la muda wa maongezi au songesha 🤣
Cha kunifanya niwe desperate ni kipi sasa hapo??Mbona uko desperate sana maanake naona kila kitu hupendi na hutaki.
Dahhh kwahiyo unajisnap unaimba za mbosso unalambalamba lips na unazikunja kunja kisha unatupia....😹😹😹😹😂😂😂😂kwa kweli watuache mi siwezi acha kujisnap😂
We kuwa tu mpenzi mtazamaji inatosha! No love,no stress!Bora nimwage Weed toka Jamica mpaka Chuga na nianze okota moja moja kuliko kumiliki Mpenz.
Simu yangu kupiga kelele zozote silent killer mute kila kitu mpaka video hua naangaliaga kimya kimya kiufupi sipendi Makelele kabisaWadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
Hahahaha! Siyaelewi kabisa hayo madudekuvaa manguo yakuchanika
Wee kuna za wale memelords 😂😂 memelords wangu nawajua, hao nikikuta kafunga tela naziangalia tu zoteMimi nikiona hivyo hata siview hiyo status