Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Kukopa Salio mitandao ya simuπŸ€ŒπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona uko desperate sana maanake naona kila kitu hupendi na hutaki.
Cha kunifanya niwe desperate ni kipi sasa hapo??


Simu siweki protector sbb linakuwa lizito
Sisuki sbb short hair looks cute more than misuko
Siwezi kukaa bila bando
Sivai long dresses
Simu kuitumia muda mrefu naichoka.

So hapo cha kufanya niwe desperate ni kipi hapo? Au mkuu huijui huo msamiati unamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…