Hahahaaaanikishavaa fupi siinami, kama kuna ulazima kuna kuinama kwa staha pia.[emoji23][emoji23] BTW sio fupi ile ya kushindikana duniani mpk akhera
ndefu zinadondosha. Niulize mimi πππHahahaaaa
Hapo kuanza kuinama kwa kuvizia ndipo huwa nafikiri sijui kwanini hamuwazi sawasawa pindi mnapovaa nguo za namna ile
Kupost chakula statusKuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k! Wadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
Eeeewa namna hio akiinama kidogo tunamtaka ainame zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani akinyoosha mikono juu akiwa amesimama, neema inaanza kupunga upepo
Sasa kama umevaa ndefu iliyofuata mwili hadi miguu ilivyo, kwanini usianguke.ndefu zinadondosha. Niulize mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Heko kwa wavaaji, uwa wanapendeza wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeeewa namna hio akiinama kidogo tunamtaka ainame zaidi
Yule jamaa wa tangazo la steps entertainment cjui alipotelea wapiπ€πAu vyote kwa pamojaπ€£
What a coincidence πππJela au fineππ
FYI ile dress haikuwa ya kubana. Google sketi ya charanga uione namna ikoSasa kama umevaa ndefu iliyofuata mwili hadi miguu ilivyo, kwanini usianguke.
Kuna vitu huwa mnalazimisha hata hadhira wanaona haviwapendezi.
Nguo ndefu pana utaangukaje
Au mkuu huijui huo msamiati unamaanisha nini??Cha kunifanya niwe desperate ni kipi sasa hapo??
Simu siweki protector sbb linakuwa lizito
Sisuki sbb short hair looks cute more than misuko
Siwezi kukaa bila bando
Sivai long dresses
Simu kuitumia muda mrefu naichoka.
So hapo cha kufanya niwe desperate ni kipi hapo? Au mkuu huijui huo msamiati unamaanisha nini?
Iko hivi Mtu aisyeomba kitu Chochote anastahili kila kitu.Kumuomba mwanaume hela siwezi. Akiamua yeye kwa hiari yake atanipa. ( Comment yangu isiguswe badoπ)
You canβt be serious π€£π€£π€£Au mkuu huijui huo msamiati unamaanisha nini??
najua,, through nilikua ni guess kichwani kwako hakuko sawa so kama uko fresh ni vizuri.
Dawud nakusalimia tu πππYou canβt be serious π€£π€£π€£
Nina 60% ya uhakika ule msamiati huupati vyema.
Wild girl you areCha kunifanya niwe desperate ni kipi sasa hapo??
Simu siweki protector sbb linakuwa lizito
Sisuki sbb short hair looks cute more than misuko
Siwezi kukaa bila bando
Sivai long dresses
Simu kuitumia muda mrefu naichoka.
So hapo cha kufanya niwe desperate ni kipi hapo? Au mkuu huijui huo msamiati unamaanisha nini?
I beg to differWild girl you are
Yooo! Samaleko Sheikh Mazziyah π€£π€£Dawud nakusalimia tu πππ
Jiandae vizuri kujibu hoja nzito with vivid example π€£π€£ kwa sababu neno thibitisha litahusika sana.Kiranga ataichukia na kuniponda moaka nimeanza kutafuta na mifano yenye kueleweka ππ
ππππUtakuwa mchaga au mmeru wewe.
Hayo makabila hawana miguu,Wana miwa.