Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hahahaaaanikishavaa fupi siinami, kama kuna ulazima kuna kuinama kwa staha pia.[emoji23][emoji23] BTW sio fupi ile ya kushindikana duniani mpk akhera
Hapo kuanza kuinama kwa kuvizia ndipo huwa nafikiri sijui kwanini hamuwazi sawasawa pindi mnapovaa nguo za namna ile