eldamaty_persier
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 118
- 285
- Thread starter
- #121
Yaani nitoe pesa kamili af nichague nguo iliyochanika! Never🤌😂Hahahaha! Siyaelewi kabisa hayo madude
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nitoe pesa kamili af nichague nguo iliyochanika! Never🤌😂Hahahaha! Siyaelewi kabisa hayo madude
Mwache mwenzako a strike 😂😂Dahhh kwahiyo unajisnap unaimba za mbosso unalambalamba lips na unazikunja kunja kisha unatupia....😹😹😹😹
Shona virakakuvaa manguo yakuchanika
😂😂Shona viraka
Amin, Sex is Universal ila Mapenzi tuwaachie wenyewe.We kuwa tu mpenzi mtazamaji inatosha! No love,no stress!
Theory verifiedAmin, Sex is Universal ila Mapenzi tuwaachie wenyewe.
Unavaa fupi ambayo ukiinama neema yote uliyojaaliwa inakuwa nje[emoji23][emoji23]Kuvaa nguo ndefu [emoji85] nishawahi kudondoka. Nilikuwa nashuka ngazi, nikajikanyaga nikateleza. Tokea pale sijawahi rudia kuvaa/ kumiliki nguo ndefu [emoji1787]
Siwezi kumiliki Makelele nyumbani nikiwepo nyumba nzima inakua kimya nikiondoka ndio wanawasha bufa zao, wakigundua mida yangu ya kurudi wanazima in short Mimi na kelele zisizo na mpangilio hatukai chungu kimojaWadau ni kitu au jambo gani hilo huwezi kufanya au kumiliki?
Jela au fine😂😂Kufanya mekapu usoni.
Yani nikae chini, mtu aanze kuweka puti usoni kwangu. Wanja huoo mpana kama lami, bora uniue....mekapu hapana
Hio Neema' aliyojaaliwa kuna mashababi tunataka kuiona kwa ukaribu alafu kajariwa kishundu hichoUnavaa fupi ambayo ukiinama neema yote uliyojaaliwa inakuwa nje[emoji23][emoji23]
Unavaa fupi ambayo ukiinama neema yote uliyojaaliwa inakuwa nje[emoji23][emoji23]
🤣🤣Unavaa fupi ambayo ukiinama neema yote uliyojaaliwa inakuwa nje[emoji23][emoji23]
nunua wewe ushoneShona viraka
Au vyote kwa pamoja🤣Jela au fine😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio Neema' aliyojaaliwa kuna mashababi tunataka kuiona kwa ukaribu alafu kajariwa kishundu hicho
Hizo hizo ndio tunazipenda kuna dada mmoja ana duka la mobile money anapenda sana nguo za aina hio siku hio kajisahau kaachia Miguu wazi alafu Mimi napita nikacheck msitu uuuule aliponiona nimefocus akafunga Miguunikishavaa fupi siinami, kama kuna ulazima kuna kuinama kwa staha pia.😂😂 BTW sio fupi ile ya kushindikana duniani mpk akhera