Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwa mnatembeaje? mana mimi navaa dash dash.maguberi habaya ndefu zinaburuzika sianguki wala na nakua huru sana.FYI ile dress haikuwa ya kubana. Google sketi ya charanga uione namna iko
Km ulisoma comment vzr, wakati nashuka ngazi, licharanga limesambaa ukijikanyaga tu basi.
Bora ya kubana, kuliko liwe pana
Kwahy wew ni mwendo wa vimin tuu.Kupaka lipstick
Kukaa bila kuimba
Kwenda kwa watu kuongea
Kupokea hovyo namba ngeni
Kuvaa nguo iliyopita magoti
Kuomba hela hovyo kwa watu
Kupitisha siku bila kula ugali
unakuta uso ushakua mzitoHaya mambo yanenda na umri na mahitaji. Kama umri wako upo kumi la mwisho huwezi.
Mimi haikua vijiwe visivyo na maana ni vikundi vya vijana tulikua tutakutana kila siku jioni kuna Mwenyekiti Katibu Mwekazina na wengine wahamasishaji waelimishaji nk wajua miepo sasa nshakua muhenga lakini mbele sikuona faida ndio nikajiondoa, sio hivi vijiwe vyenu sikuhizi watoto wa 2000 mwashinda kuvuta Moshi tu na kubishania ujingaMajungu ndio yanakuwa mengi na kulishana ujinga (one day yes)
Mbaya zaidi mtaani yakitokea matukio nyie ndio mnakuwa washukiwa wa kwanza.
Ah hata hii nalo kwangu ni mzozoKwenda photoshoot
Mkuu you mean kila siku lazima ule ugali😂😂Kupaka lipstick
Kukaa bila kuimba
Kwenda kwa watu kuongea
Kupokea hovyo namba ngeni
Kuvaa nguo iliyopita magoti
Kuomba hela hovyo kwa watu
Kupitisha siku bila kula ugali
NitakupelekaKwenda photoshoot
Nigawie vitabuSina mziki wowots kwenye simu yangu na sisikilizi mziki umenitoka rohoni kabisa.
Badala yake nimekuwa na hobbie ya vitabu tu
Unataka kipi mkuu.Nigawie vitabu
Vyovyote tu vya kuanzia nami nataka kujenga tabia ya kujisomea vitabu kama wewe na rafiki yangu Dr LizzyUnataka kipi mkuu.
Mimi kuna vitsbu huwa napendelea kuvisoma kama vile vya self help books na kama hizo.
Mfano.
Atomic habits.
How to win friends....
N.k
huwa mnatembeaje? mana mimi navaa dash dash.maguberi habaya ndefu zinaburuzika sianguki wala na nakua huru sana.
Hongera 😂Sina mziki wowots kwenye simu yangu na sisikilizi mziki umenitoka rohoni kabisa.
Badala yake nimekuwa na hobbie ya vitabu tu