Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

FYI ile dress haikuwa ya kubana. Google sketi ya charanga uione namna iko

Km ulisoma comment vzr, wakati nashuka ngazi, licharanga limesambaa ukijikanyaga tu basi.

Bora ya kubana, kuliko liwe pana
huwa mnatembeaje? mana mimi navaa dash dash.maguberi habaya ndefu zinaburuzika sianguki wala na nakua huru sana.
 
Majungu ndio yanakuwa mengi na kulishana ujinga (one day yes)
Mbaya zaidi mtaani yakitokea matukio nyie ndio mnakuwa washukiwa wa kwanza.
Mimi haikua vijiwe visivyo na maana ni vikundi vya vijana tulikua tutakutana kila siku jioni kuna Mwenyekiti Katibu Mwekazina na wengine wahamasishaji waelimishaji nk wajua miepo sasa nshakua muhenga lakini mbele sikuona faida ndio nikajiondoa, sio hivi vijiwe vyenu sikuhizi watoto wa 2000 mwashinda kuvuta Moshi tu na kubishania ujinga
 
Najua itakua ngumu kuamini

Ila sijawahi kubembeleza penzi

Siku ya kwanza tu jibu utakalonipa ndo nasepa nalo

Nashangaa watu anapiga stori unakuta anasema alikataliwa akabembeleza akakubaliwa


Basi tu siwezi
Kama unakua omba omba hivi
 
Sina mziki wowots kwenye simu yangu na sisikilizi mziki umenitoka rohoni kabisa.

Badala yake nimekuwa na hobbie ya vitabu tu
 
Back
Top Bottom