MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
emjeiwani upo mamaangu?
habari ako binafsi baaaanaaaaa!
nakumisi sana mamaaaaa la kulivua pendo....that was the thread of the threads...hehehehe!mbu na klorokwin wataunga mkono hoja pasi na kuomba miongozo!....
nisalimie mamaaa la nyamayao mwambia yeye mfalme ya amani anamkumbuka sana manake alinambia mpo wote doha!.....
nakukumbuka sana emjeiwan!
pamoja sana
Tunatumia hekima mkuu! tungesema alievaa kanga Mbu angeanzisha valangati kuliko la London. acha tujifanye tumeishoboke kanga tu.
Saumu ya leo kweli ina utata aisee, mara Lizzy na MJ1 wanaleta vineno ya uchokozi halaf mara Mbu anaweka kanga na miguu rangi ya vanish. Dah!
klorokwin vip arif?......
swaumu yaendaje???....
hatuwasiliani tena tangu invizibo aondoe chatrum ake.....
au tusubiri weldkap imgine?
nakukosa sana braza klorokwin....a.k.a klorobiznec a.k.a kloro-wa-ukweli
Mweh!! wallah kwa maneno weye hata sikuwezi ............unafanya kazi TUKI nini?
Tunatumia hekima mkuu! tungesema alievaa kanga Mbu angeanzisha valangati kuliko la London. acha tujifanye tumeishoboke kanga tu.
Saumu ya leo kweli ina utata aisee, mara Lizzy na MJ1 wanaleta vineno ya uchokozi halaf mara Mbu anaweka kanga na miguu rangi ya vanish. Dah!
hhhahhahhaaaaaahha!...duhhh?! e bana ee..yaani pete hujaiona hiyo ilivyo kubwa hata waliuo kwenye Int Space Station wanaiona?...Mwj1 marufuku kuonana na huyu Shemejio aka wakili wangu aka Mshenga.
Ubinafsi na dharau na uchoyo hivi vitaweza nisumbua, mengine yote cha mtoto
hhhahhahhaaaaaahha!...duhhh?! e bana ee..yaani pete hujaiona hiyo ilivyo kubwa hata walio kwenye Int Space Station wanaiona?...Mwj1 marufuku kuonana na huyu Shemejio aka wakili wangu aka Mshenga.
Shaka ondoa nshaujua udhaifu wake, ntaonana naye ila sitamvalia khanga LOL
Aksante Shantel....mimi ninaamini kabisa haya madogo ya kupiga, sijui kufumania ni ya kuvumilika (unless yanakuwa yamejengeka kwa muhusika)
Kuna dada yangu yeye alikuwa ni mkali yaani yule wa kukamata nondo kama ataleyewa fyokofyoko na moja wapo ya vitu alivyokuwa anasema vitamtoa ndani ya ndoa ni kufumani,alikuwa mpole siku alipogundua kuwa mume wake ameshatembea na majirani zake karibia wote wanne. Siku hizi ndie anayetuasa uvumilivu wadogo zake.
Mwenzangu naangalia vitu vingine kabisa, hiyo nasamehe na kuendelea na maisha,mie napenda tu niwe na amani, nipate nachotaka, nisikilizwe, nikinyimwa unyumba hapo naweza aga teheteheeeeAksante Shantel....mimi ninaamini kabisa haya madogo ya kupiga, sijui kufumania ni ya kuvumilika (unless yanakuwa yamejengeka kwa muhusika)
Kuna dada yangu yeye alikuwa ni mkali yaani yule wa kukamata nondo kama ataleyewa fyokofyoko na moja wapo ya vitu alivyokuwa anasema vitamtoa ndani ya ndoa ni kufumani,alikuwa mpole siku alipogundua kuwa mume wake ameshatembea na majirani zake karibia wote wanne. Siku hizi ndie anayetuasa uvumilivu wadogo zake.
...there you go!...una ka asili kaubishi ubishi nini? masikilizano yakiondoka, ndoa i mashakani...lol...
naamini Lizzy unaziona Challenges ndogondogo ambazo zikiachiwa zinaweza zua mtafaruku
mkubwa kwenye maisha ya ndoa.
Vitukahao majirani zake wnakaa wapi huko
na sie tuhamie lol
una amini ndumba mkuu?au unashiriki?ndumba.aisee nkigundua anaushirikina me ndo kwa heri,na mengineyo yote umeyasema.big up
Vituka
Hhahahhah LOL unajiandalia maingira ya kutoshtakiwa??! lol they see keep the enemy close but keep the wiser more closer!!
I have been there, unapokatazwa kuwa karibu na potential people ambao its more likely wakakusaidia wakati wa shida hahahahah we concern yako ilikuwa ni khanga sasa why kunizuia kuonana naye hata ndani ya Baibui jamani?