MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Haahaha MJ na MBU nawasoma...siku ya siku ushauri wangu utakua hakukusikiliza siku zile za "kitu gani...." hata leo ni kama unampigia mbuzi gitaa tu!!!
LOL mtetezi wangu Klorokwini tu hapa, we naona Mbu keshakulambisha 'limbwata' lake......hakuna fair justice hapa!!
Haya Mbu nitakutii, nitakiheshimu, nitakupenda katika shida, na raha; katika hali ya kuwa mzima na mgonjwa na hata katika udikteta na amri
Nitakuwa mke mwema kama mwanajeshi mtiifu ambaye huuliza sababu baada ya kutii amri!
(Eh mkuu nisaidie!)